Priebus: Green card holders will be allowed into US

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
93,478
119,291
Hii regime ya Trump haijui kabisa ilifanyalo kwenye hili suala la executive order ya uhamiaji aliyoisaini wiki hii.

Mara huyu aseme hivi...mwingine naye anakuja anasema hivi...full mparaganyiko.

Nahisi hata Trump mwenye haelewi kinachoendelea na huenda hata haelewi alichokisaini:D.

Naiona hii pushback dhidi yake kuhusu hili suala kuendelea kukua katika siku zijazo.

Washington (CNN) President Donald Trump's administration says green card holders -- including those detained at airports across the United States in the wake of Trump's ban on travel from seven nations -- will be allowed into the country.

Reince Priebus, Trump's chief of staff, said on NBC's "Meet the Press" that "as far as green card holders moving forward, it doesn't affect them."
However, he later added: "If you're traveling back and forth you're going to be subjected to further screening."

Green card holders from the seven banned countries, when they land, will undergo additional security screening, including an interview and having their fingerprints checked, sources told CNN. If there are no red flags, then they would be allowed entry.

So far, DHS officials say 81 green card holders have been allowed in and none have been denied entry.

"There is discretionary authority that a Customs and Border Patrol agent has when they suspect that someone is up to no good when they travel back and forth to Libya or Yemen," Priebus said.

Priebus' comments come in the wake of a judge issuing a stay blocking the deportation of those affected by Trump's executive order blocking foreigners from seven countries -- including refugees -- from entering the United States.

The order led to protests at airports across the United States and controversy over whether people who had lived and worked in the country for years would be allowed to return from trips overseas. Some were still being detained Sunday morning.

Senate Minority Leader Chuck Schumer, D-New York, tweeted Sunday that he had spoken with Homeland Security Secretary John Kelly.

Follow
Chuck Schumer

✔@SenSchumer

Just off phone w/ Gen. Kelly. Assures me the court order will be complied with. All those still in airports expected to be admitted

"All those still in airports expected to be admitted," Schumer tweeted.
Kellyanne Conway, a Trump adviser, also said Sunday those currently detained who are not deemed threats would be released.

"I am told by the officials that anyone who's being detained, if there's no further threat, if they're not dangers to this country, they can expect to be released in due course -- as most of them have already," she said on "Fox News Sunday."

"If they are not dangerous, if they're not a threat, then they will be disposed of on a case-by-case -- their situations will be handled on a case-by-case basis," she said.

Chanzo
 
Hahaaa....they have really stepped in it with this one. They themselves don't seem to know what they did or what they are doing. They are contradicting themselves. Look at this....

How Trump's travel ban affects green card holders and dual citizens

Washington (CNN)President Donald Trump's immigration executive order set off mass confusion at airports and even the agencies in charge of implementing it.

One key question for many is how the order will affect US green card holders and people who hold dual citizenship with a Trump approved country and one of the seven banned nations.

Adding to the confusion, Trump administration officials seemed to at times contradict themselves during appearances on Sunday news shows. In mere minutes during an interview with NBC, White House chief of staff Reince Priebus said the order "doesn't affect" green card holders, then later said "of course" it affects green card holders from Iran, Iraq, Syria, Sudan, Libya, Yemen and Somalia -- the seven countries Trump has temporarily stop immigration from for 90 days.

Chanzo

 
Huyu ndio unasema anaendesha nchi kwa mjibu wa katiba ?
Naona hapa kuna contradiction kubwa ya Maelezo yako.
 
Cnn wanamchukia Trump hivyo kazi yao ni kurelease fake news ili kujenga chuki,,kikubwa ni screening kwa hao green card holder kama wakirudi kutoka mataifa saba yenye wasiwasi lakini wakiwa wameenda nchi zisizo kwenye list wanakuwa hawakaguliwi sana au kunyimwa nafasi ya kurudi..Wageni wengi hawataki kukubali kwamba Marekani ina uongozi mpya wenye mambo mapya.
 
Cnn wanamchukia Trump hivyo kazi yao ni kurelease fake news ili kujenga chuki,,kikubwa ni screening kwa hao green card holder kama wakirudi kutoka mataifa saba yenye wasiwasi lakini wakiwa wameenda nchi zisizo kwenye list wanakuwa hawakaguliwi sana au kunyimwa nafasi ya kurudi..Wageni wengi hawataki kukubali kwamba Marekani ina uongozi mpya wenye mambo mapya.
Ndugu, think outside the box. Ukikaa kwenye kisanduku alichotengeneza Trump, huwezi hata kuuona ukweli hata ukiwa mbele ya macho yako. Ukweli ni kwamba kama unafuatilia habari za Trump utaona kwamba hata kabla hajaingia kwenye kinyang'anyiro cha kugombea uraisi alikuwa mtu wa kung'ang'ania habari za uwongo kiasi kwamba hata ushahidi ukitolewa, hakukubali. Km kadhia ya Central Park Five (1989) fuatilia alivyoivalia njuga hadi hata 2012. madai ya kwamba Obama hakuzaliwa Kenya alivyong'ang'ania toka 2009 hadi alipobanwa vibaya 2016. Ona alivyong'ang'ania kwamba umati wa kuapishwa kwake ulikuwa mkubwa kuliko wowote uliopata kutokea ilhali kila mtu aliweza kuona kwa hivyo si kweli. Tunaweza kutoa mifano mingi sana.
In fact sasa hivi hata wale wa FoxNews ambao ndiyo walikuwa wanamuunga mkono, wamechoka kumtetea katika uwongo wake. Nao wanasema kwamba uwongo umezidi.
Kama ni fake news, Trump ndiyo namba moja wa fake news: eg madai kwamba Obama ali-wire tap makazi yake, kwamba kulikuwa na shambulio Sweden siku gani vile (nimesahau).
Ni kwamba ukiamua kuangalia news kwa lens aliyotengeneza Trump huwezi kuona yaliyo dhahiri kabisa.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom