Emmanuel Macron sworn in as France's President at the age of 39

Richard

JF-Expert Member
Oct 23, 2006
15,525
22,465
8c957b7e275fc4c4499eb627994e3ee73faa96139abd01c4ddd3c02bf4c75f35_3953173.jpg

Raisi mpya wa Ufaransa Emmanuel Macron na raisi anaeondoka Francois Hollande wakipunga mikono kwa wananchi.

Emmanuel Macron ambae aliwahi kuwa mfanyakazi wa zamani wa benki, leo ameapishwa rasmi kuwa raisi wa Urafansa katika shehehe iliyofanyika katika kasri ya Elysee mjini Paris.

Mke wake bi Brigitte na watoto wake wa kike na wa kiume ambao ni wa kufikia kwa bwana Macron aitwae Tiphaine Auziere na muwewe waliwasili kabla ya tukio hilo.

Mtoto mwingine wa bi Brigitte aitwae Sebastian nae aliwasili na familia yake.

Raisi Macron anatarajiwa kufanya ziara nje ya Ufaransa wiki hii ambapo atatembelea majeshi ya Ufaransa yaliyopo nje ya nchi hiyo kwa kuanza na yale yaliyopo nchini Mali, Magharibi mwa Afrika.

===========================================================

3342f1a156d8341a740f819093ea7287eb109ede9c4c41c77fe440eb8baf0787_3953157.jpg

First lady bi Brigitte Trogneux akiwasili kabla ya sherehe ya kuapihswa kwa muwewe Emmanuel Macron

Emmanuel Macron has been inaugurated as his France's youngest ever president in a ceremony at the Elysee Palace in Paris.

The centrist leader of Republique en Marche was greeted on the steps of the Presidential residence by outgoing head of state Francois Hollande.

Shortly before, his wife Brigitte had arrived, just behind her daughter and Mr Macron's stepdaughter Tiphaine Auziere.

After the ceremony was over, Mr Macron accompanied Mr Hollande as he walked to his vehicle in the palace forecourt and drove away as the new president waved him off.

A source close to the President-elect has told Reuters that his prime minister will be appointed on Monday.
a751d30f64be7310a6455bc20cc1f521aa6b4207e91ff0cbefb489911b7018f9_3953170.jpg

Mtoto wa kufikia wa raisi Macron, bi Tiphaine Auziere akiwasili kwenye sherehe za kuapishwa kwa baba yake akiwa na mumewe.

The remainder of his government will be announced on Tuesday, the source said.

Speaking after the inauguration ceremony, Mr Macron said France had chosen "hope".

He went on to promise that the beleaguered European Union would be "reformed and relaunched" during his time in office.

8c9712d37e7adbeb108b3d10a9f66396c2cf54c3da0e8d343a53b8d32e35b253_3953176.jpg

Mtoto wa kiume wa kufikia wa raisi Macron bwana Sebastian Auziere akiwasili na mke wake na waoto wao wawili.

He said: "The division and fractures in our society must be overcome.

He has already appointed Alexis Kohler, who was his chief of staff when he was economy minister, as his secretary general, who will act has his chief administrator.

Philippe Etienne, a former ambassador to Berlin, will act as his diplomatic adviser.

It was revealed that the suit he wore for his inauguration cost a modest €450 (£381), in an apparent attempt to dissociate himself from "bling-bling" politics.

Chanzo: Reuters, CNN, other international news outlets.
 
Back
Top Bottom