Takriban wahamiaji 100 wameokolewa baada ya kutelekezwa wakati wakijaribu kuvuka jangwa kaskazini mwa Niger,Chombo cha habari cha Ufaransa, RFI kimeripoti.
Imeripotiwa kuwa watu 92 waliookolewa...
Polisi nchini Kenya kaunti ya Bungoma, wanamzuilia mama aliyemfungia mwanae ndani ya gari na kumuacha akafa huku akijiburudisha na mpenzi kwenye gesti.
Mwanamke huyo yasemekana kuwa, alimfungia...
Masalia ya Obama yaanza kuwashambulia watu wa Donald Trump, USA will never be same again!
Latest: Rep. Scalise, Four Others Shot, Gunman in Custody – Republicans targeted
Gazeti la Middle East Monitor limeandika Rais wa Somalia amekataa kupokea dola milioni 80 za kimarekani kutoka Saudi Arabia ili nchi hiyo ya Somalia ijiunge na muungano wa nchi za kiarabu katika...
Aliyekua kiongozi wa waasi nchini Congo, Bosco Ntaganda anatarajiwa kutoa ushahidi leo katika mahakama ya kimatafa ya ICC.
Ntaganda aliyepewa jina la 'The Terminator ' atasimama kizimbani ikiwa...
How Diana secretly recorded hours of tapes pouring out her despair over her imploding marriage to Charles: Soul-baring audio reveals her bulimia began when Prince told her she was 'a bit chubby'...
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Husika na kichwa cha habal hapo juu
Ni kwanin uarabun kumejaa sobingo zisizo na kichwa wala miguu
Nini kifanyike ili uarabun patulie pawe sehemu bora ya...
Chama kikuu cha upinzani Afrika Kusini Democratic Alliance (DA) chamuondoa madarakani, Hellen Zille baada kuandika ujumbe uliosifia ukoloni.
Ujumbe huo ulisomeka hivi;
World
C.paton,Newsweek Mon, Jun 12 8:26 PM GMT+3
Reactions
Reblog on Tumblr
Share
Tweet
Email
After more than five years in captivity in the Libyan mountain town of Zintan, Saif...
Taarifa kutoka Mamlaka za nchini Uhispania zinasema Mwanasoka maarufu duniani Cristiano Ronaldo anadaiwa kukwepa Kodi kiasi cha Euro € milioni 14 ambayo ni sawa na Dola milioni 16. Taarifa...
Rodman lands in Pyongyang and is expected to spend four nights in North Korea
The NBA Hall of Famer spoke to reporters at Beijing's airport before his trip
Pyongyang, North Korea (CNN)NBA Hall...
Kuanzia saizi wakenya hawajui ni nini kitayokea dakika 1 mbele na hii yote ni kutokana kuingilia vita ya somalia ya wenyewe kwa wenyewe. Na ambayo wasomali wamepigana miaka nenda rudi lakini leo...
Will Kenya get value for money from its new railway? - BBC News
The first major new railway line in Kenya for more than a century, running between the capital Nairobi and the coastal city of...
#JE WAJUA........?
KOREA KASKAZINI NDIYO NCHI YENYE SHERIA ZA AJABU ZAIDI KWA RAIA WAKE.
________________________________________________Hebu chukua muda wako kusoma hizi baadhi ya Sheria za...
Zaidi ya watoto 150, 000 hawaendi shule katika Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo kufuatia mapigano yanayoendelea kati ya wanamgambo na vi kosi vya usalama vya serikali katikati ya nchi hiyo...
B1-B bomber, B-2 stealth bomber na B-52 bomber
Jeshi la anga la Marekani(Air force) lasema kwamba linahitaji jumla ya Bombers 165 ili kukabiliana na vitisho toka kwa nchi kama Russia,China,North...
Kwa ufupi
Bharara aliambia shirika la habari la ABC kwamba alihisi simu hizo kutoka kwa Rais Trump zilikuwa zimevuka mipaka ya kawaida inayotenganisha ofisi ya rais na uchunguzi huru wa uhalifu...
Iran imetuma ndege tano zilizosheheni chakula kuenda nchini Qatar, ambayo inakumbwa na uhaba wa chakula baada ya kutengwa na nchi zingine za kiarabu.
Mataifa kadha yakiwemo hasimu mkubwa wa...