Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,569
- 9,429
Takriban wahamiaji 100 wameokolewa baada ya kutelekezwa wakati wakijaribu kuvuka jangwa kaskazini mwa Niger,Chombo cha habari cha Ufaransa, RFI kimeripoti.
Imeripotiwa kuwa watu 92 waliookolewa na wanajeshi, walikua na hali mbaya nusura kupoteza maisha.
Wahamamiaji hao sasa wako chini ya uangalizi wa Shirika linaloshughulikia wahamiaji, IOM mjini Dirkou kaskazini mwa Niger, RFI imeeleza.
Wiki mbili zilizopita, wahamiaji 44 waliokuwa wakijaribu kuvuka jangwa kuelekea Libya walipoteza maisha kutokana na kiu.
BBC Swahili