Zaidi ya watoto 150, 000 hawaendi shule nchini DRC.

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
16,721
2,000
pic.png

Zaidi ya watoto 150, 000 hawaendi shule katika Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo kufuatia mapigano yanayoendelea kati ya wanamgambo na vi kosi vya usalama vya serikali katikati ya nchi hiyo.

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuwashughulikia Watoto -UNICEF linakadiria kuwa zaidi ya shule 600 zimeha ribiwa kufuatia mapigano hayo,wakati nyingine zinatumiwa kama vituo vya dharura.

Vikos i vya usalama katika jimbo la kati la Kassai vinapambana na wapiganaji wa kikundi cha Kamwina Nsa pu,wanaotaka kuiangusha serikali kuu katika eneo hilo.

Zaidi ya watu elfu moja wameuawa na wengine milioni 1.3 wame yakimbia maka zi yao.

Chanzo: IPP media
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom