kesho kutwa
JF-Expert Member
- Dec 7, 2016
- 1,698
- 1,941
Najua wapo wafilisti flani watakataa Trump baba wa dunia yani a world leader Ndie anaongoza kwa kuchangiwa kwa wingi mada zake Mchana mwema
Mkuu KwaniniTrump kaja na spidi Ila namtabiria hata tawala marekani bila kuingiza vitani na kuhatarisha usalama wa dunia
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Trump ni kiboko aiseeNilishangaa alivyowavuruga waarabu hivi karibuni! Kweli leo waarabu wanawekeana vikwazo hadi vya hijja kisa ugaidi? Kweli mwarabu ana moral authority ya kukemea terrorism? Maajabu ya Trump.
Ndo Maana yakeDonald J. Drumpf is a world leader...Vladimir Vladimidovic Putin is a CCN and Forbes's world powerful man.
Sisi na mataifa mengine ni wasindikizajiMada zenye mwitikio na wingi wa wachangiaji ni zile zinazowahusu RUSSIA, PUTIN na DPRK na kiduku hao pekee ndio wanaotawala Jukwaa la kimataifa..