Bowie
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 4,373
- 6,084
Gazeti la Middle East Monitor limeandika Rais wa Somalia amekataa kupokea dola milioni 80 za kimarekani kutoka Saudi Arabia ili nchi hiyo ya Somalia ijiunge na muungano wa nchi za kiarabu katika kuisusia Qatar.
Serikali ya Somalia imesema haitaunga mkono upande wowote kwenye mgogoro huu, shirika la ndege la Qatar limeruhusiwa kutumia anga ya Somalia
wakati nchi zingine zimezuia ndege kuruka kwenye anga zao
Saud Arabia inajaribu kutumia pesa kuhimiza mataifa mengine kususia nchi ya Qatar.