hazole1
JF-Expert Member
- Jan 3, 2015
- 4,319
- 3,916
Kuanzia saizi wakenya hawajui ni nini kitayokea dakika 1 mbele na hii yote ni kutokana kuingilia vita ya somalia ya wenyewe kwa wenyewe. Na ambayo wasomali wamepigana miaka nenda rudi lakini leo hii naona yeye mkenya amejipeleka kichwa kichwa.
Na Kwa kifupi tu niseme wakenya kwenye ile vita ya somalia wanafanya biashara kichaa.
Kwanini wakenya hiyo vita wasiachane nayo waangalie maisha yao.
Kwasababu nikiangalia pale wakenya wanafanya biashara kichaa.
Yani wanapigana vita ambayo hawajui mwisho wake na hilo swala
Wangewaachia umoja wa nchi za afrika wao ndio wapigane.