Afrika Kusini: Hellen Zille aondolewa madarakani

Interest

JF-Expert Member
Apr 11, 2015
3,434
7,067
Chama kikuu cha upinzani Afrika Kusini Democratic Alliance (DA) chamuondoa madarakani, Hellen Zille baada kuandika ujumbe uliosifia ukoloni.

Ujumbe huo ulisomeka hivi;

twitter.jpg
 
Attachments

  • twitterr.jpg
    twitterr.jpg
    13.8 KB · Views: 26
Kwani ni uongo upi kaongelea hapo? SA bila makaburu isingekuwa hapo ilipo... Tunajifanya wazalendo wakati ni majuzi tu ngozi nyeusi wa nchi zingine walikuwa wakiuwawa SA... Ukitaka kujua hilo nionyeshe reli ya Tanga-kilimanjaro -Arusha? Mzungu kaweka Mtanzania kaua Nk
 
Kwa ufafanuzi zaidi: Helen Zille(mweupe) hana madaraka ndani ya chama kwa zaidi ya miaka miwili sasa. Alistaafu uongozi wa DA kwa hiari na akamuachia Mmusi Maimane ambaye ni mweusi tii. Ni mwanachama wa kawaida na premier wa Western Cape. Ni kweli alitweet hiyo kauli na alikuwa kwenye uchunguzi ambao ulikuwa unatishia kuvuliwa uanachama. Uamuzi umeshatolewa. Kuna vikao vya chama ambavyo alikuwa anahudhuria kutokana na cheo cha kiserikali (premier), ambavyo hataweza tena kuhudhuria-ila ataendelea na u-premier. Premier ni kiongozi mkuu wa jimbo na jimbo lina wabunge kadhaa.

Nyongeza: Democratic Alliance (DA) ndo chama pekee chenye 'weupe' wengi kuliko vyama vingine. Kwa kiasi kikubwa kinatetea maslahi ya watu weupe-kinapinga sera zinazowapa watu weusi kipaumbele maalum huku weupe wakipewa nafasi ya tatu (1.Mweusi 2.Shombe/mhindi 3. mzungu). Hivyo ANC inakituhumu kwa kutaka kuendeleza ubaguzi wa rangi, ndo maana kauli yake ilikuwa hatari kwa chama alichokiongoza kwa muda mrefu. Tena wakati huu ambao wanataka kuwavutia watu weusi wakiunge mkono (ndo maana akapewa mtu mweusi kukiongoza baada yake)

Matokeo Chanya ya DA: Ngome yao ni Cape Town. Mji pekee msafi, salama na wenye huduma za jamii za kiwango cha juu sana. Very organized-kuliko hata baadhi ya miji ya ulaya.
 
Mkuu shukrani sana kwa ufafanuzi
 
Kwani ni uongo upi kaongelea hapo? SA bila makaburu isingekuwa hapo ilipo... Tunajifanya wazalendo wakati ni majuzi tu ngozi nyeusi wa nchi zingine walikuwa wakiuwawa SA... Ukitaka kujua hilo nionyeshe reli ya Tanga-kilimanjaro -Arusha? Mzungu kaweka Mtanzania kaua Nk
Kama wasingekuja kabisa kuitawala hiyo SA, lazima wangekuwa na taratibu zao za kutibu magonjwa, lazima zilikuwepo kabla ya kaburu kuja, kaburu sio aliyeleta maendeleo afrika, alifuta kabisa ya kwao ili waige yake..soma historia kijana
 
Sawa Africa ilikuwa kama London kabla ya wakoloni kuja
 
Back
Top Bottom