How Diana secretly recorded hours of tapes pouring out her despair ?

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,203
2,000
How Diana secretly recorded hours of tapes pouring out her despair over her imploding marriage to Charles: Soul-baring audio reveals her bulimia began when Prince told her she was 'a bit chubby'
b6ad98b7ad0f55b23535d8fe9fe86bca.jpg

How Diana secretly recorded hours of tapes | Daily Mail Online
 
dudus

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
13,831
2,000
Mama mkwe wake wa zamani - Her Majesty, the Queen; mumewe wa zamani, Prince of Wales (mfalme mtarajiwa) ndio hao wakuu wa nchi na Kanisa la England halafu eti "kuwakomoa" anaenda "kuonesha mahaba" na jitu gani sijui huko; hawawezi kukuacha.

Huyu binti na kukaa kote kwenye nafasi muhimu inaonekana alikuwa "akili ndogo"; alishindwaje kujua fitna za kisiasa na ulimwengu unavyokwenda including dini na mambo kama hayo? Alipaswa ajikalie zake kwa upole na adabu; angekula mema ya nchi sasa ujinga wake umefupisha maisha yake.
 
witnessj

JF-Expert Member
Mar 22, 2015
20,818

Mkuu...heshima ikipungua ndani ya ndoa, mapenzi hakuna, hutaiona hiyo furaha right?

Princess Di alikuwa anatafuta furaha na sio mavyeo, heshima, pesa ...unfortunately Prince Charles ni playboy la kutupwa! Hakuwa na mapenzi na Di na alimuoa kwa shinikizo na kisa ni bikra na urafiki kati ya Elizabeth na Earl Spencer ( babaake Diana)..Charles alimpenda sana Camilla na tunaona kinachoendelea baina yao after Di death!...

In a nutshell wanawake tumetofautiana na labda Di ni aina ya wanawake wenye flagile heart, hawezi kuteseka + kukosa raha kwenye maisha yake kisa ndoa! After all wote tutakufa, walimuua na wao pia wataonja kifo no matter what..
 
johnnydeep

Senior Member
May 2, 2017
117
225
Mama mkwe wake wa zamani - Her Majesty, the Queen; mumewe wa zamani, Prince of Wales (mfalme mtarajiwa) ndio hao wakuu wa nchi na Kanisa la England halafu eti "kuwakomoa" anaenda "kuonesha mahaba" na jitu gani sijui huko; hawawezi kukuacha.

Huyu binti na kukaa kote kwenye nafasi muhimu inaonekana alikuwa "akili ndogo"; alishindwaje kujua fitna za kisiasa na ulimwengu unavyokwenda including dini na mambo kama hayo? Alipaswa ajikalie zake kwa upole na adabu; angekula mema ya nchi sasa ujinga wake umefupisha maisha yake.
Diana alishindana na ufalme uliotawala karibu robo tatu ya dunia ikiwemo marekani
 
dudus

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
13,831
2,000
maisha yao yalikua mfupi wao wakayarefusha kwa kujipa kile roho zao zilipenda,sio wote wanataka kufa nyuso zikiwa zinatisha kwa uzee..kila mtu atakufa
Duh! Sikujua hilo na kama ndivyo walikuwa wapumbavu na matokeo ya upumbavu wao ndio hayo yaliyowakuta. Mwenyezi Mungu anasema hivi:-

Honor your father and your mother, so that you may live long in the land the Lord your God is giving you".
 
Sirm

JF-Expert Member
Nov 16, 2013
463
250

Ww kweli dudu
 
inamankusweke

JF-Expert Member
Apr 24, 2014
6,315

nina shaka na huyo mungu alosema hivo..wanaoishi maisha mafupi hawakuheshimu wazazi?!
 
dudus

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
13,831
2,000
nina shaka na huyo mungu alosema hivo..wanaoishi maisha mafupi hawakuheshimu wazazi?!
Kakosea au? Mantiki hapo ni uzee sio kitu kibaya tofauti na kashfa zako eti nyuso za wazee zinatisha. Jiue mapema ili ufe ukiwa "kigori" mwenye "uso mzuri".
 
inamankusweke

JF-Expert Member
Apr 24, 2014
6,315
2,000
Kakosea au? Mantiki hapo ni uzee sio kitu kibaya tofauti na kashfa zako eti nyuso za wazee zinatisha. Jiue mapema ili ufe ukiwa "kigori" mwenye "uso mzuri".
kwani uso wa mzee unapendeza?..pole kama ushakua ajuza,ila ukweli ni kwamba uso wa kingunge umechakaa na vaseline hawawezi mchukua maria nyerere wamfanyishe tangazo
 
dudus

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
13,831
2,000
kwani uso wa mzee unapendeza?..pole kama ushakua ajuza,ila ukweli ni kwamba uso wa kingunge umechakaa na vaseline hawawezi mchukua maria nyerere wamfanyishe tangazo
Endela kukashfu wazee kana kwamba uliokotwa! Kwa hiyo uko tayari kujiua ili usiwe na uso kama wa Kingunge? Sijui najibizana na mtu wa aina gani?
 
ndayilagije

JF-Expert Member
Nov 7, 2016
7,487
2,000
Mama mkwe wake wa zamani - Her Majesty, the Queen; mumewe wa zamani, Prince of Wales (mfalme mtarajiwa) ndio hao wakuu wa nchi na Kanisa la England halafu eti "kuwakomoa" anaenda "kuonesha mahaba" na jitu gani sijui huko; hawawezi kukuacha.

Huyu binti na kukaa kote kwenye nafasi muhimu inaonekana alikuwa "akili ndogo"; alishindwaje kujua fitna za kisiasa na ulimwengu unavyokwenda including dini na mambo kama hayo? Alipaswa ajikalie zake kwa upole na adabu; angekula mema ya nchi sasa ujinga wake umefupisha maisha yake.
In fact she was the dumbest lady I have ever heard.! Yaani mama wa mfalme wa uingereza,azae na mwarabu kabisa halafu wamtazame tu,na huyo mwarabu awe ndugu wa William !! Hatari kubwa.
 
inamankusweke

JF-Expert Member
Apr 24, 2014
6,315
2,000
Endela kukashfu wazee kana kwamba uliokotwa! Kwa hiyo uko tayari kujiua ili usiwe na uso kama wa Kingunge? Sijui najibizana na mtu wa aina gani?
pekua ufahamu wako,unaongozwa na taboo zikitengeneza mihemuko,pitia toka awali ulipoanzia mjadala wetu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom