Utapeli unaohusishwa na askari wa upelelezi..

Internal

JF-Expert Member
Feb 23, 2017
3,579
3,913
Kuna utapeli unaoendelea kwa sasa hususani mjini wapo watu wanaojidai kuwa ni maaskari wa upelelezi. hapa naandika namna walivyo mfanyia rafiki yangu wa karibu sana.

Majira ya sita mchana siku ya jumanne tar 11/04/2017 rafiki yangu alienda kudraw pesa yake kama laki tatu na nusu kwenye bank ya NBC iliopo maeneo ya metrole jijini Arusha.

Baada ya kutoa pesa yake akaanza safari ya kuelekea gheto kwake sanawari ya chini alikopangaisha.

Sasa wakati anapandisha na barabara ya Mount meru hospitali/AICC akasimamishwa na watu waliojitambulisha kama askar wa upelelezi.

Wakaanza kumzunguka kwa maneno kuwa wao ni askari upelelezi wako kwenye uparetion ya kusaka wahalifu waliompiga askari wao na kumkata sehemu za siri.

Sasa jamaa akawaambia naomba kitambulisho then askari wakatoa wakamuonyesha jamaa kajiridhisha.

Ujinga uko hapa badalah ya kuelekea central police wakampeleka clock tower.

Walipofika pale makumbusho wakamshika mtu mwinginee wakidai nae anaenda kupelelezwa lakini kwa maelezo kidogo ya best inaonyesha huyo ni mshiriki wao.

Walipofika clock tower mkono kushoto kuna posta inayoambatana na ATM ya crdb.

Yule jamaa waliemkamata apo makumbusho wakaingia nae ndani ya jengo la posta wakachukua dakika kama tano ndani then akatoka askari mmoja akamwambia best yangu njoo nawewe ndani ile anataka kuingia wakamuuliza unakitu chochote cm ,pesa , n.k best akajibu cm sina ila nina pesa wakamwambia chakufanya leta tuzihakiki kwenye mashine kuwa ni halali then tukushamaliza upelelezi tunakupa kitambilisho kuwa uko salama.

Jamaa kawapa then wakamwambia subiri mana watu ni wengi ndani.

Mbona alisubiri mpaka nusu aote pale alipo.

Kuingia ndani kumbe kuna mlango wa nyuma wajanja wamesepa kimtindo.

Kilichoniudhi

Sio kuibiwa kizembe ila ni pale tulipofika hapo posta na kuomba ikiwezekana wapreview cctv camera tumuone uyo muuni alielita na pesa wanaanza kusema hakuna cctv camera alaf naziona pale zinanimulika nikamwambia mhudumu si ile pale juu tena mbili akasema anaezikontrol hayupo.

Nikaona isiwe kesi tukaenda central kufika tukaenda kupata muongozo pale askari akamjibu best kanywe maji upumzike dah nimeumia sana.

Japo hatukujua wapi pa kuanzia ila askari wangetupa muongozo tu ili tupate hata izo clip za video then zisambae lkn ujanja mfukoni laki tatu kwa wajanja.

Asanteni kwaheri
 
Pole sana duh huyu Jamaa yako ameibiwa kirahisi sana na naona hata hao Jamaa hawakupata shida kujichukulia fedha. Pole zake
 
Dereva mzuri na bora sana ni yule anaesikiliza ushauri wa aliowapakia pale anapokuwa amekengeuka na kwenda kinyume na taratibu za udereva.
 
Wakisema hivyo,nami nawaambia ni askari kama wao ili twende Police Central kwa mahojiano.
 
HUYO NI MBULULA!
 
Pole sana duh huyu Jamaa yako ameibiwa kirahisi sana na naona hata hao Jamaa hawakupata shida kujichukulia fedha. Pole zake
Kweli kabsa lakini huwa napendaga kumshauri sana nunua sim kubwa uwe wakisasa ujue mengi ananipuuza sana.
Mm na kitecno changu cha screpa elf thelasini kinanifunza mengi ya mjini.
 
Back
Top Bottom