Azam Tv iombe radhi kwa mwaliko huu

2hery

JF-Expert Member
May 27, 2011
4,700
4,623
Ni takribani mwezi sasa tangu azimio la wahariri na wanahabari kutamka kutompa ushirikiano mkuu wa mkoa wa Dar ndugu Bashite..
Leo katika mtandao kuna habari inasema huyu Bashite atakuwa mgeni rasmi kwenye mashinda ya Basketball mkoa wa Dar es salaam huku mashindano hayo yakidhaminiwa na Azamtv.
Azamtv tunaomba mtoe tamko au tuelezeni msimamo wenu au mmeshindwa kusimamia mlichokubaliana?
IMG-20170412-WA0012.jpg
 
Ni takribani mwezi sasa tangu azimio la wahariri na wanahabari kutamka kutompa ushirikiano mkuu wa mkoa wa Dar ndugu Bashite..
Leo katika mtandao kuna habari inasema huyu Bashite atakuwa mgeni rasmi kwenye mashinda ya Basketball mkoa wa Dar es salaam huku mashindano hayo yakidhaminiwa na Azamtv.
Azamtv tunaomba mtoe tamko au tuelezeni msimamo wenu au mmeshindwa kusimamia mlichokubaliana? View attachment 494726
Wewe mwenyewe mbna umeleta habari yake na kutuhabarisha, kwa nini kwa wenzako unaona ajabu...ungekaa kimya kwanza wewe bila kumwandika bashte wewe mwenyewe hupati kick....
 
Sio kosa lao, waandaaji ndio watakuwa wamemualika. Wao ni wazamini tu
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Wewe mwenyewe mbna umeleta habari yake na kutuhabarisha, kwa nini kwa wenzako unaona ajabu...ungekaa kimya kwanza wewe bila kumwandika bashte wewe mwenyewe hupati kick....
Kinachotakiwa Azam waseme wanachokisimamia..
 
Ni takribani mwezi sasa tangu azimio la wahariri na wanahabari kutamka kutompa ushirikiano mkuu wa mkoa wa Dar ndugu Bashite..
Leo katika mtandao kuna habari inasema huyu Bashite atakuwa mgeni rasmi kwenye mashinda ya Basketball mkoa wa Dar es salaam huku mashindano hayo yakidhaminiwa na Azamtv.
Azamtv tunaomba mtoe tamko au tuelezeni msimamo wenu au mmeshindwa kusimamia mlichokubaliana? View attachment 494726
Azam anafanya biashara na haya mambo ya udikteta eti sijui wahariri wameamua sijui upuzi gani hayana mshiko katika karne hii,hao wahariri ni wanafiki tu mbona mmiliki wa JF aliposhikwa hatukusikia hizo kelele,AzamTv haina ubia na hao wahariri wa bahasha za kaki.Halafu wewe ni nani hadi uwashurutishe Azam Tv.
 
Tamko alilolitoa Nevili Meena kwa niaba ya wahariri wenzake ipo siku atasema alilitoa kwa Maslahi ya nani.

Maana Serikali ipo kuwatumikia wanainchi na wahariri wapo kuwatumikia wakina nani??
 
Mtoa mada Unanikumbusha kampeni za uchaguzi 2015 kuna watu walikubaliana wasipige mziki kwenye mikutano ya CCM kisa wao ni CHADEMA, lakini baada ya wao kukataa ikatokea wenzao wakakubali baada ya kuona pesa inawapita na wenzao wanapiga hela. Wale waliosusa mpaka mwisho wakawaona wale waliokubali kama wasaliti.
Fundisho: siku zote usiwe mtu wa kushikilia misimamo isiyokuwa na tija, usifanye maamuzi kwa kufuata mob psychology bali fanya kile unachoamini ni sahihi kufanya. Kama kweli wamesusa kuandika habari zake mbona habari mbaya kuhusu makonda wanaandika?
Don't forget black hen lays white eggs........
 
Huyo jamaa ni kama maji ndugu, wewe mwenyewe umemtaja hata tusiokuwa na hiyo Azam TV tumejua kuwa jamaa kaalikwa!
Mi mwenyewe ni mdau mzuri tu wa makonda ila sikuwa na hizi taarifa..ye ndio kaniambia na picha kaweka..kweli ukiinuliwa na Mungu juu ni lazima utakuwa juu..by Bahati Bukuku
 
Azam anafanya biashara na haya mambo ya udikteta eti sijui wahariri wameamua sijui upuzi gani hayana mshiko katika karne hii,hao wahariri ni wanafiki tu mbona mmiliki wa JF aliposhikwa hatukusikia hizo kelele,AzamTv haina ubia na hao wahariri wa bahasha za kaki.Halafu wewe ni nani hadi uwashurutishe Azam Tv.
Hii ni international media..they don't practice local matters.
 
Maazimio magumu mno hayo watawezatu endapo waandishi wa hbr watahama dar tofauti na hapo watasalitiana tu,suala la mashindano ni muhimu lazma awepo rc

Sasa watafanyeje?

Walikurupuka sana kuweka maazimio yao maana hakuna jinsi,rc anamwingiliano mkubwa sana na mambo mengi so rc kuonekana ktk vyombo halikwepeki mtaumia na kuumiza na kulaumiana bila sabb
 
Azam TV ni malofa tu,bosi wao si amepewa heka zaidi ya 100 rufiji huko alime matunda.
 
Back
Top Bottom