Nashangaa mapka sasa mafao ya uzeeni yatolewayo na NSSF na PPF ni kidogo ukininganisha na mchango we Mwanachama.Angalia mfano wa kweli hapa chini:
i)Juma Alistaafu tarehe 30/6/2012 baada ya...
Siku moja ,Nilipanda basi la mkoani (sio TZ),bus attendant akaweka documentary film ,nakumbuka jinsi abiria walivyokua wakibadilishana mawazo kutokana na facts zilizokua zinasimuliwa kwenye...
Nimeanza kazi na nimelipia nyumba laki 2 na nusu kwa miezi 6 sasa kichwa kinauma ikiisha hyo miezi 6 itakuwaje?naomba msaada kwa wazoefu hela za miezi 6 mnatoaga wapi? Una save kwenye mshahara au...
Nakumbuka nilikuwa naishi maeneo ya ununio, ni maeneo yenye bar za ufukweni na shughuli za uvuvi nyingi,
Nilikuwa na tabia ya kwenda ufukweni nyakati za usiku kuanzia saa moja, karibu na bar, ili...
Wakuu niaje?
Nimeipata hii kwenye group flani eti kada wa CCM wilaya ya Kilombero ampiga police na kumjeruhi kama mnavyomwona pichani
Kama ni kweli basi CCM walaaniwe Kwa hili manake wanafanya...
Wakuu habari,
Kuna nyumba yetu ya urithi ipo Mbeya. Nilikuwa nahitaji kujua ni nani anaetathmini thamani ya nyumba? Na gharama zao zikoje?
Na vilevile ni hatua gani nifuate kuepuka kutapeliwa...
Habari Wakuu,
Naomba kufahamu upi ni mfuko mzuri kujiunga kama mwanachama (na sio kuwa muajiriwa wa mfuko). Kwa maana nyingine kama mtu kaajiriwa sehemu fulani na akapewa uhuru wa kuwa...
Hodi wana jamvi leo nimekusudia kuongelea waendesha Pikipiki maarufu bodaboda.
Kweli hii kazi imekuwa ni msaada mkubwa wa ajira kwa vijana wetu na kurahisisha usafiri maeneo mengi ajira hii imenea...
Mtaje mwalimu aliyekufundisha kitabu ,shule na mwaka.Kuna mwalimu alikuwa anaitwa Muneja mwembetogwa sekondary 1997.utasikia.The river between ,James Ngugi wa Thiong'o,makuyu and kameno ,Honia...
Afrika ni miongoni mwa bara lenye nchi nyingi maskini duniani lakini hii inaweza kukushangaza kwani kuna baadhi ya nchi zinatajwa kuwa na ndege za Rais zenye gharama kubwa ukilinganisha na ndege...
Tanzania Tunajivunia vitu ambavyo hatukushiriki kuvileta.
Tanzania inajivunia Tembo,Mito na bahari,Kilimanjaro,Maziwa,Madini vitu ambavyo hatukutumia akili zetu au maarifa kusababisha viwepo...
habar zenu waku!naiman mpo salam kabsa,,nacukua fursa hii kutoa kma ukumbusho ,,kwa ndugu zang wa ki islam ,,kwamba mwezi mtukufu umekaribia (Ramadhan)tujianda eni kwakukisogeza kwa Mungu zaidi...
Salamu wakuu, poleni na majukumu.
Kuna mambo yamekuwa magumu sana kwangu kuyakamilisha.Ni mengi sana na yanataka pesa kila siku na gharama za maisha zinazidi kupanda:-
1. Kuhudumia familia...
Kiukweli inauma sana mtu hukatwi na bodi ya mikopo basi kaa kimya, 15% inatuuma sana. Kuna watu hawakatwi mpaka leo sijui wameachwa kwa makusudi au ndio bahati yao. Wanatupa wakati mgumu sana...
Ndiyo ukweli. ni kama kufananisha sahani na bakuli. ziwa victoria ni pana na shallow kama sahani wakati Tanganyika ni deep kama bakuli. hili limefanya tanganyika kuwa na km za ujazo za maji 18,900...
Ninajua Rais wetu ni mpenzi wa wanyonge, kila MTU anafahamu hilo, kuna MTU anaitwa Baraka huyu ni Mungu kwa hii kata. Anafanya anacho taka kisa anapesa, anashika watu ovyo, akisikia kuna eneo...
Habari za wakati wanajamvi.....
Leo katika pita pita zangu nikapita karibu na shule moja ya msingi hapa Tanzania, nikasikia wanafunzi wakiimba huu wimbo wa Kizalendo.... "TANZANIA NAKUPENDA."...
Habari za kuamka wakubwa na wadogo,
Ni habari ambayo ni ya kweli na ya uhakika kama kichwa cha habari kinavyosema.
Mshahara huo umeongezeka kwa ahadi ya mheshimiwa rais wa Zanzibar ambayo aliitoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.