Tathmini ya Nyumba [Valuation]

The Giant

JF-Expert Member
Jun 24, 2012
504
96
Wakuu habari,
Kuna nyumba yetu ya urithi ipo Mbeya. Nilikuwa nahitaji kujua ni nani anaetathmini thamani ya nyumba? Na gharama zao zikoje?
Na vilevile ni hatua gani nifuate kuepuka kutapeliwa?

Natanguliza shukrani
 
Nenda halmashauri ya manispaa ya mkoa wako kitengo cha uthamini wa majengo kila kitu utapata huko.
 
Wakuu habari,
Kuna nyumba yetu ya urithi ipo Mbeya. Nilikuwa nahitaji kujua ni nani anaetathmini thamani ya nyumba? Na gharama zao zikoje?
Na vilevile ni hatua gani nifuate kuepuka kutapeliwa?

Natanguliza shukrani
Tathmini ya nyumba inafanywa inafanywa na wathamini wa manispaa au wathamini binafsi kutokana na dhumuni la uthamini huo.
Hivyo ungesema sababu(purpose) of valuation ningekwambia wapi ni sahihi kwako na pia mwanga wa gharama zake.
Otherwise ni pm
 
Lengo ni kujua bei halali ya kuuza Nyumba basi.
 
Aaanhaaa, hiyo inaitwa market value purpose.
Unaweza kwenda manispaa sema wao hawana authority ya kufanya market value
Japokuwa mthamini wa manispaa anaweza kuifanya hiyo as kwenye private company wanakuwa na bei kidogo

Ok, na private company gharama zao zikoje? Siwezi kupata individual?
 
Back
Top Bottom