Mzee Chapuuka
Member
- Apr 21, 2017
- 97
- 243
Wakuu niaje?
Nimeipata hii kwenye group flani eti kada wa CCM wilaya ya Kilombero ampiga police na kumjeruhi kama mnavyomwona pichani
Kama ni kweli basi CCM walaaniwe Kwa hili manake wanafanya nchi Mali yao.
Mwenye taarifa kamili atupie hapa
Source : Group WhatsApp