ibby
JF-Expert Member
- Mar 20, 2017
- 415
- 585
habar zenu waku!naiman mpo salam kabsa,,nacukua fursa hii kutoa kma ukumbusho ,,kwa ndugu zang wa ki islam ,,kwamba mwezi mtukufu umekaribia (Ramadhan)tujianda eni kwakukisogeza kwa Mungu zaidi na kuzidisha matendo mema yatakayotufa tutapo ondoka katik dunia hii ,,tumche Mungu kila nyakati si Ramadhan tu bali Ramadhan tumeshauriwa kuzidisha kama alivo tusii Mtume wetu Muhammad(S.A.W) inamekana tunawez kuanza swaumu kweny tareh27../May. In sha Allah ...wasalam