milangomitatu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,469
- 1,166
Nimeanza kazi na nimelipia nyumba laki 2 na nusu kwa miezi 6 sasa kichwa kinauma ikiisha hyo miezi 6 itakuwaje?naomba msaada kwa wazoefu hela za miezi 6 mnatoaga wapi? Una save kwenye mshahara au unakopa? Natumai ntapata jibu sahihi Asanteni