Nataka Mke wa Kimachame!

Nataka Mke wa Kimachame!

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
17,361
Reaction score
26,930
Kufuatia sakata la Kweka Na Urassa, wadau wengi wanasema wanataka kuoa wake wa kimachame waone kama ni kweli lisemwalo kuwahusu ni kweli!

Nimewashuri waoane tu, mdau wewe unasemaje?
 
Screenshot_20261003-223940~2.jpg
 
Mtoto akililia wembe mpe, ukimkata atapata akili...

NB: ikawe heri kwao katika majaribio yao
 
Cha kushangaza hao mabinti wa kimachame kila wakati wanaolewa, fuatilia harusi nyingi za mjini, peleleza utagundua wengi wanao olewa ni mabinti kutoka machame au Uchagani.

Huo ndio Ukweli, kubali au kataa. Tukio la mtu mmoja haliwezi kuhitimisha kuwa wanawake wote wa machame ni wabaya
 
Kila mwanaume timamu anapenda kuwa na mwanamke pisi, huko uchagani mpaka Arusha yote vitoto vimeumbika haswa.
 
Back
Top Bottom