Mchakato wa kujiunga na Freemasonry unafuata utaratibu rasmi na wa hiari, tofauti na dhana za mtaani kwamba watu hualikwa au kulazimishwa.
Hatua Kuu za Kuingizwa Uanachama:
Ombi la Hiari...
God bless lema , Sugu ,MMM, na kibonge boni yai ukiwatafakari kwa kina Kuna namna utaanza kupata mashaka juu ya uaminifu wao kwa chama chao cha chadema.
Mienendo Yao ya kisiasa Haina tofauti na...
Kampuni ya mabasi ya RUKSA CLASS inayofanya safari za Kahama–Mpanda ina changamoto ya mende wengi kwenye baadhi ya mabasi yake.
Kwa mfano, basi lenye namba T 237 DYM linalofanya safari ya...
Uwekezaji wa takribani Sh. bilioni 700 katika kiwanda cha sukari na shamba la miwa unaendelea kufungua fursa kubwa za kiuchumi kwa wananchi, huku ukizalisha ajira zaidi ya 5,000.
Mradi huo...
Nicholas Waterbury kutoka Florida, Marekani, anadaiwa kuwa mtu wa kwanza duniani kufanyiwa upasuaji wa mafanikio wa kupandikiziwa uume wa farasi.
Upasuaji huo ulifanyika Julai 16 katika Kituo cha...
Mama angu pole na msiba.
Katika harakati za uvccm nimeshuhudia Jokate akipambana sana Kwa AJILI ya CHAMA hivo NAKUOMBA mama yangu mrejeshe KUNDINI maisha yaendelee sijui chanzo chake, ila naomba...
Mimi na rafiki yangu mmoja tulienda sokoni wote na kila mmoja alikuwa na shughuli yake japo wote tuliambatana katika safari
Tulipofika sokoni tuliamua kila mmoja wetu amsindikize mwenzake sehemu...
Sasa hivi ni saa 18: 59 foleni ni kubwa sana gari za kutoka Morocco kuelekea kawe na kutoka kawe kuelekea Morocco hazitembei kabisa, Kama unaweza kutokupita barabara ya Mwai Kibaki usipite, tumia...
Kuondoka kwa Matagi kwazua shangwe Arusha: Bar zafurika, wananchi wafurahia uhamisho
ARUSHA — Hatua ya kuhamishwa kwa aliyekuwa Mkuu wa Polisi wa Wilaya ya Arusha (OCD), Georgina Matagi, imezua...
Sioni faida ya hawa mapolisi kupiga kwata na mazoezi kila uchwao kama mtu tu wa kawaida ambaye amedhoofika vile amemtandika kisawa sawa askari.
Najiuliza , je angekuwa mtu wa mazoezi / body...
Mtoto wa miaka 14, jina limehifadhiwa, anayedaiwa kusafiri kutoka Morogoro kwenda Zanzibar kumfuata mama yake mzazi, amedai kubakwa ndani ya Meli ya Azam Sealink namba mbili na mfanyakazi wa...
Leo ukitembelea magoli ya watu wenye biashara zao, ni machafu hakuna conducive environment na hospitality.
Mm huwa nashangaa hivi nyie wamatumbi huwa hamwoni namna bora ya kumfanya mteja ajihisi...
Dodoma ni eneo ambalo serikali inahamia kwa kasi lakini wananchi wenyeji wake Wagogo na Warangi wanaonekana wamelala sana
Huwezi kujivunia kwenu kunajengwa halafu hunufaiki nako, wanaonufaika ni...
Inajirudia Kila baada ya muda
Ndege ni kubwa sana ya abiria.kama hizi za mashirika makubwa hizi Boeing
Inapoteza muelekeo na kuangukia kuelekea chini na mlipuko wake mkubwa hauachi kitu.
Ni...
Naweza kuonekana mwendawazimu kwa hii mada lakini wenye kuona mbali wataona mantiki yake!
Ni hili la majeneza ya kukodi na makaburi ya kupanga..Maisha yanaenda kasi sana na mabadiliko mengi...
Kwa miaka Mingi Arusha na Dar zilikosa Washindani wao hapa Tanzania ila Kwa Sasa kuibuka Kwa Jiji la Dodoma kumeanza kuificha Arusha.
Utawala wa Jiji la Arusha(Geneva of Africa) imefunikwa Kwa...
Licha ya kuwa busy na majukumu ila siwezi kuona message ya mtu alafu nikaamua kukaa kimya bila kujibu.
Yamegeuka madhara kwangu naumia sana pale mtu napomtumia message alafu achele kujibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.