Tatizo ni nini wakuu naombeni msaada

Tatizo ni nini wakuu naombeni msaada

Nevergive up

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2024
Posts
600
Reaction score
944
Wakuu Nina Hali naipitia maeneo ya kazini .Yani maeneo yote nliyofanya kazi Hali hii hunikuta.
1.Nachukiwa bila sababu kazini
2.hata kama Sina pesa hata mia watu hufikilia Nina pesa Yani hata Mtu akisema nimkope nikasema Sina basi huzani nimemnyima
3. Watu huzani labda nipandikizi la usalama aliyekuja kuchunguza ofisi hivyo baadhi ya watu hukaa mbali na Mimi
4. Nikihitaji msaada hasa Kwa mtu ambaye simjui ni halaka sana kunisaidia 100%
5.ninauwezo kuyaelewa mawazo mapema ya mtu Kwa kumtazama au kuongea naye hivyo kama amekuja vibaya najua.
6. Ninakaa hata miaka 5+ sijaumwa ugonjwa siliazi tukiachana na mafua.
Hayo mengine ni ya kawaida ila kinachonitesa na kuumiza kichwa why nachukiwa bila sababu Yani mtu tu anaweza kuninunia bila sababu na uzuri wake before natambua mapema sana kabla sijamsalimia. Je hii Hali wakuu ikoje?
 
Hayo mambo ya kawaida sana
Sema watu huwa hawaji-exposure, kila mtu ana watu wawili au watatu katika kundi la watu kuanzia 50 ambao wanamchukia , hamsalimii na wengine kumdharau.
Kwa hiyo usifikiri ni wewe, kuhusu kuhisiwa kuwa wewe ni usalama wa Taifa ni wewe tu unavyojichukulia lbd unajadili vijimambo unavyookoteza gazetini na wewe unaenda kuwasilimlia au unapenda kujitenga na kujipa u classic fln.

Kihusu kuumwa kichwa kapime macho,
Ni hayo
Avoid to entertain ushirikina
 
Fanya kazi zako,kula,pumzika,fanya mazoezi,kama uko na pisi maliza nalo muda,mshukuru Mungu kwa hiyo nafasi,saidia.

Tafuta na ya ziada yenye tija kama kwenda kwenye masuala ya kijamii n.k

Mengine hayakuhusu ni wasiwasi wako.

Tumeelewana wewe usalama wa taifa?
 
Jiangalie mkuu. Inawezekana ukawa na tatizo la afya ya akili na wewe hujui. Walio karibu yako kuna kitu wanafahamu na wewe hujui.
 
Hayo mambo ya kawaida sana
Sema watu huwa hawaji-exposure, kila mtu ana watu wawili au watatu katika kundi la watu kuanzia 50 ambao wanamchukia , hamsalimii na wengine kumdharau.
Kwa hiyo usifikiri ni wewe, kuhusu kuhisiwa kuwa wewe ni usalama wa Taifa ni wewe tu unavyojichukulia lbd unajadili vijimambo unavyookoteza gazetini na wewe unaenda kuwasilimlia au unapenda kujitenga na kujipa u classic fln.

Kihusu kuumwa kichwa kapime macho,
Ni hayo
Avoid to entertain ushirikina
Siamini katika ushirikina mkuu nini church boy hata Seran anajua hilo
 
Wakuu Nina Hali naipitia maeneo ya kazini .Yani maeneo yote nliyofanya kazi Hali hii hunikuta.
1.Nachukiwa bila sababu kazini
2.hata kama Sina pesa hata mia watu hufikilia Nina pesa Yani hata Mtu akisema nimkope nikasema Sina basi huzani nimemnyima
3. Watu huzani labda nipandikizi la usalama aliyekuja kuchunguza ofisi hivyo baadhi ya watu hukaa mbali na Mimi
4. Nikihitaji msaada hasa Kwa mtu ambaye simjui ni halaka sana kunisaidia 100%
5.ninauwezo kuyaelewa mawazo mapema ya mtu Kwa kumtazama au kuongea naye hivyo kama amekuja vibaya najua.
6. Ninakaa hata miaka 5+ sijaumwa ugonjwa siliazi tukiachana na mafua.
Hayo mengine ni ya kawaida ila kinachonitesa na kuumiza kichwa why nachukiwa bila sababu Yani mtu tu anaweza kuninunia bila sababu na uzuri wake before natambua mapema sana kabla sijamsalimia. Je hii Hali wakuu ikoje?
Inaweza kuwa mtazamo wa watu na mazingira, si lazima iwe kuna tatizo maalum kwako. Watu wengine wanaweza kukutafsiri vibaya kutokana na namna unavyozungumza, kukaa au kujisitiri.

Kuhusu kuhisi mtu hakupendi kabla hata hujasalimia, huenda una uwezo mkubwa wa kusoma body language na mienendo ya watu, lakini pia ni vizuri kutokuchukulia kila hisia kama ukweli.

Ushauri wangu: endelea kuwa mnyenyekevu, usiwaze sana kwa nini kila mtu anakuchukia, na zingatia tabia zako na kazi zako. Muda utaonyesha nani anakupenda na nani hakupendi.
 
Shukurani sana
 
Back
Top Bottom