Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jamaa ilibidi polisi wamchukue na kumpeleka kituoni ili kutuliza zogo aliloleta baada ya kutokea mtaani akiwa akiwa na jezi ya Barca na akiwa kafanya nywele zake kama Messi Alipata wazo hilo kwa...
9 Reactions
33 Replies
7K Views
Yesterday Maalim Seif Sharif Hamad paid a visit to the mentioned prophet above. Am asking to myself a lot of questions about this Bishop, Is he really a prophet? Is he a Politician? Is he a Spy...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Ukifuatilia habari za matukio ya ajali iliyotokea Arusha na kuua wanafunzi 32, walimu 2 na dereva 1 ni kama vile waliokufa ni wanafunzi tu. Yaani walimu na dereva wanazungumzwa kwa kiasi kidogo...
1 Reactions
1 Replies
942 Views
Nimestuka haya majina maana yake hawakukusanya cheti cha form four. Please nashare ili ukiona jina lako uwasiliane na wahusika isije ikafika tar 15 May Mpaka Maprof wapo!! Huwa nasikia maprof...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
∆. Kamtapeli mpenzi wake ∆. Alimzuga kwa kubadilisha magari ya kifahari This Tanzanian man scammed a local woman of millions please lets help her. He is wanted by the Mayville Police, there is...
5 Reactions
42 Replies
5K Views
Kwa kipindi kirefu nipo kwenye utafiti nikifanya utafiti wa kuchunguza magroup ya wasap na Instagram wanao sema wanajiuza Nilichukua namba zao na kuanza kuzifuatilia 1:Uwaga wanasema ukitaka...
2 Reactions
14 Replies
6K Views
The wonders of the world. Ambulace zilizonunuliwa awamu ya 4 na wabunge wawili wa mkoa wa Arusha kwa pesa zao za mfukoni Joshua Nasari na Godbless Lema zimeanza kufanya kazi tangu awamu iliyopita...
8 Reactions
74 Replies
7K Views
Ajali na majanga yanaweza kutokea mkoa, wilaya au kijiji chochote nchini. Msiba huu wa watoto wetu wa Arusha ulitugusa karibu taifa lote. Naomba majanga kama haya yatakapotokea sehemu nyingine...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Mh Zito ametaka kuwe na sheria ya usafirishaji wanafunzi Ni jambo jema sana mfano katika shule za kata unakuta wafunzi wanapanga safari wenyewe tena wanakutana nje ya shule na kukodi gari kwenda...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Ajali mbaya imetokea asubuhi hii mkoa wa Shinyanga eneo la Kizumbi, Mbuyuni kwenye kona.Basi la la kampuni ya Allys kutoka Mwanza limegongana na Coaster inayofanya safari kati ya Isanzu na Kahama...
3 Reactions
106 Replies
16K Views
Airport passport contral section. Huduma zao ni mbaya sana na wako slow saaana, wahudumu wa kwenye ma bar na mahotel wana huduma nzuri kuliko wao. Naomba muhusika wa section hiyo awape training...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Mheshimiwa huku kwetu jana na juzi tumetafakali sana hatimae tukakumbuka kuwa; Wewe, kwa kauli yako tu umeifanya barabara ya ubungo kibangu inapitika tena kwa kiwango cha lami. Wewe, kwa kauli...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Nimeona mara nyingi nguo nyeusi zikivaliwa nyakati za misiba mbalimbali kama vazi rasmi na hata wanajeshi wanavaa riboni nyeusi mkononi wakati wa msiba. Nakiri sielewi maana yake nini ingawa nami...
4 Reactions
51 Replies
16K Views
Mada tajwa hapo juu yahusika, Wakuu kuna baadhi ya watu huenda kwa waganga wa kienyeji wa aina mbali mbali ili kutatuliwa matatizo yao. Wapo wanaofanikiwa na wapo wanaoendelea kupoteza pesa kwa...
1 Reactions
65 Replies
15K Views
Wakuu mwenzenu nikiingia aliexpress nikitaka kununua kitu kwenye payment method sioni paypal naona tu wananiambia niingize namba ya kadi yangu ya benk. Mara wananiletea alipay halafu wananiletea...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wabunge wa ccm ni watu gani na serikali yao wamethibisha ubashite wao na namna ambavyo ni wamekosa weledi wa kisiasa na kwamba kwao maslahi ya nchi hii si kitu muhimu hata kidogo!!! Hili ni...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wakuu, kuna mvua kubwa inayonyesha Bukoba, mvua hiyo imepelekea kuharibika kwa miundombinu ya barabara kuu inayoingia na kwenda mikoani eneo la Kemondo. Kwa wale wasafiri wa kwenda mikoa ya...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…