Heshima kwenu wana JF.
Nimejaribu kutafakari na kujiuliza ni nini hasa maana na sababu ya viongozi wengi wa Jumuiya ya nchi za Afrika Mashariki kutohudhuria kikao Jana?
Imeshuhudiwa nchi 2 tu...
Salam,
Huyu Jamaa kila nikimsikilizaga anavyowadanganya watoto kupitia star tv nacheka sana...
Ila kwa namna nyingine najiweka kwenye nafasi ya wale watoto na hasa kwa jinsi viongozi wangu wa...
-Dikteta
-Kukurupuka
-Rambirambi
Haya maneno yamekuwa maarufu sana msimu huu,kuna watu wakiyasikia wanapata ganzi!Awamu iliyopita maneno hayo yalikuwa hayana impact yeyote!Awamu hii ni...
WIZI.....WIZI .............Salamu wandugu! Gari Rav4 yenye namba T710 DGN iiliyoibwa jummane iliyopita imeonekana MWANZA maeneo ya ngudu ikiwekwa mafuta TABASAMU PETROL STATION usiku wa alhamis...
UNAPOAMBIWA MWL.JULIUS KAMBARAGE NYERERE NI BABA WA TAIFA LA TANZANIA UWE UNAELEWA.
1.Alizaliwa tarehe 13/04/1922 Butiama na kufariki tarehe 14/10/1999 kule London.Ni Raisi wa kwanza Afrika...
Wadau wenzangu mnaotumia barabara na hasa za mijini naomba kuwauliza hivi hili suala la dereva kuwasha taa za gari ucku akiwa mjini anaweka FULL LIGHT tena wakati mwingine yupo kwenye barabara...
Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha Kalisti Lazaro, viongozi wa dini, viongozi wa shirikisho la umoja wenye shule binafsi pamoja na wengine wote waliokamatwa kwenye tukio la kutoa rambirambi kwa...
Usiku huu nimepita kwa wakala kupata huduma ya simu pesa.
Nimekuta varangati ambapo kuna mteja alifika (kama saa nzima iliyopita) kuweka salio katika Airtel Money. Amerejea kwa wakala akilalamika...
Wana jf sikatai serikali kuhamasisha wananchi kuchangia maendeleo yao katika sekta tajwa, ila naona kama habari inayohusu ukusanyaji mapato na kupita kiwango si sahihi maana serikali ni kama...
Kumekuwa na tabia ya baadhi ya makampuni makubwa kubadili majina ya umiliki mara kwa mara mfano humu jf kuna bingwa 1 anaitwa HALICHACHI. Halafu kuna kampuni maarufu ya simu Tanzania inaitwa...
Habari za majukumu Ndugu zanguni!
-Naomba kujua mafunzo ya jwtz yanachukua muda gani kuanza mpaka kuisha?
-gharama zinazohusiana na mafunzo na vitu vinavyotakiwa uwe navyo .
-je mafunzo kwa...
Hakuna Jumapili mbaya kama ya leo, tunaamka asubuhi tunakuta milango wazi, housegirl kaiba kila kitu, sebuleni chumbani kibaya zaidi kamuacha mtoto wetu amelala na mlango upo wazi.
Yaani nimeapa...
TEMESA tafadhalini sana , mnabeba roho na Mali za watu kupitia vivuko vya MV. Magogoni na MV. Kigamboni, tumetoka kulia juzi tu ajali Arusha, tunaomba muepushe ajali inayowezekana katika vyombo...
Naomba kutoa hoja zinazothibitisha kuwa kumfukuza kazi askari au afisa wa jeshi fulani likiwemo la Polisi ni heri kuliko kumwacha aendelee na kazi;
1.Kumwacha aendelee na kazi ilhali watumishi wa...