Salama zenu wote.
Nilikutana na watu wakizungumzia kuhusu kichwa habari hapo. Wakisema kuwa unanunua something like a package alafu mwisho wa mwaka unalipwa kiasi fulani cha pesa.mfano,walisema...
Penye wengi haliaribiki jambo
Dogo katoka shule juzi ndio kamaliza form six anasubiri matokeo, kama mnavyojua maisha hayatabiriki, je, kozi gani iko marketable kwa sasa, jinsia yake ni male...
Habari wakuu!
Nimefuatilia kwa kina na kubaini kwamba karibu vituo vyote vya televisheni Tanzania kwa upande wa habari za kimataifa habari wanazosoma wanazichukua BBC SWAHILI . Mfano: leo hii...
Nafikiri sote ni mashahidi kuwa wazee wa ndiooo bila kujifikiria na marais wao mkapa Kikwete na hata Magufuli ni wakulaumiwa wote.
Kila sheria ikipita pale bungeni wao bila kutafakari huipitisha...
Jana nilikuwa maeneo ya burudani ikafika wasaa wa kurushwa mechi nikawaambia wenzangu Mimi ngoja niondoke kwa sababu sina interest na masuala ya mpira nikajibiwa "we mshamba tu mwanaume gani...
Wengi wanaweza wakafurahia hii hali ambayo hatukuwahi kuiona awamu zilizopita ya kuteua na kutengua viongozi kila Mara inaweza kuwa na hasara gani? Kwa mm naona ni vigumu wizara au idara hiyo...
Taifa letu linapita kwenye nyakati ngumu za changamoto mbali mbali, kama wananchi wenye uzalendo tusichoke kuliombea ili Mungu atuepushe na mabalaa.
Tumuombee Rais apewe hekima ili aongoze kwa...
Wakuu, mtanisamehe kwa KUWA pessimistic kuhusu hili sakata la mchanga wa dhahabu.
Kwa kweli ni hatua nzuri kwa kuanza kuangalia na kulinganisha kinachoripotiwa na kilichopo. Kutumbuliwa kwa kina...
Jana rais amesema kuna mtu amepokea rushwa hadharani mbele ya camera kutoka kwa wamiliki wa migodi!
Ukiacha huyo ambaye ushahidi upo alisema wapo wengine walilipwa fedha ili wawatetee hao mwezi wa...
Wakuu habari,
Jamani mi naomba kuikumbusha serikali rambirambi zinazotolewa kwa wafiwa wa msiba huu mkubwa basi moja kwa moja zielekezwe kwa walengwa tusisikie pesa zinaenda kufanya miradi ya...
RETRECHMENT!!!! REDUNDANCE!!! PUNGUZO LA WAFANYAKAZI LAANZA RASMI!!!
Kwa habari za kuaminika kabisa kutoka katika kampuni husika ya ACACIA ni kuwa mchakato wa kupunguza wafanyakazi umeanza...
Habari zenu wakuu.
Katika tukio ambalo limeleta majonzi makubwa na mtikisiko kwa nchi, ni tukio la vifo vya wanafunzi takribani 33 wa shule ya Lucky Vincent ya mjini Arusha, la kusikitisha zaidi...
Sasa ni muda mrefu nimekuwa nikiona Mheshimiwa Rais Dkt. Magufuli akifanya Vikao vyake au Mikutano yake mingi tena ile mizito na ya Serikali kutokea IKULU na naona sasa imeshazoeleka na si ajabu...
Bila kuingiza siasa za akina Tundu Lisu humu, napenda kuuliza ni kwanini wasafirisha mchanga wawe ni migodi ya Buzwagi na Bulyakulu tu? Kwanini mgodi wa Geita Gold Mine hawasafirishi mchanga...
PRESS RELEASE
For release on May 24th, 2017
European Union and AKF facilitate dialogue for horticulture market system strengthening in favour of smallholder farmers
Tuesday 23 May;
Dar es...
Habari wana JF
Nipo apa Rufiji nikishuhudia adha ya usafiri kwa wananchi na pia watalii wanao eekea SELOUS GAME RESERVE kupitia Barabara ya Mloka kutokea Dar es salaamu kabla ya kufika katika...
Wakuu mwenye taarifa kamili kuhusu hicho kichwa cha habari kama kinavyoonekana kwenye hiyo attached naomba atudadavulie zaidi huyo mwandishi aliandika nini kwenye hiyo habari