Mwanga Lutila
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 4,137
- 13,820
Jana nilikuwa maeneo ya burudani ikafika wasaa wa kurushwa mechi nikawaambia wenzangu Mimi ngoja niondoke kwa sababu sina interest na masuala ya mpira nikajibiwa "we mshamba tu mwanaume gani usiyependa mpira" hii kauli si Mara ya kwanza kuisikia Mara nyingi naisikia kwenye mabar.
Kwanini tuonekane Washamba ilihali kila MTU kipo anachokipenda kwenye maisha yake?
Kwanini tuonekane Washamba ilihali kila MTU kipo anachokipenda kwenye maisha yake?