eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,233
- 16,202
Nafikiri sote ni mashahidi kuwa wazee wa ndiooo bila kujifikiria na marais wao mkapa Kikwete na hata Magufuli ni wakulaumiwa wote.
Kila sheria ikipita pale bungeni wao bila kutafakari huipitisha bila kujali itakuwa na maslahi gani kwa taifa.
Wao wanafikiri wanapatia kwa kuwakomoa wabunge wa upinzani kumbe wanawakomoa watanzania maskini wa nchi hii ambao ni hohehahe wa kutupwa kisa wabunge wa CCM
Wabunge wa CCM mnalo la kujieleza kwa maskini wa Tanzania hao hao mnaowapitishia sheria mbovu wanakuja kuwabeba katika uchaguzi kwa kuwapa hela za kuwahonga maskini wale wale msiowajali wakati wa kuamua maslahi mapana ya taifa
CCM Mungu anawaona