Akasome kozi gani Veta kati ya hizi

sizonjemadawa

JF-Expert Member
Feb 11, 2017
1,053
1,304
Penye wengi haliaribiki jambo

Dogo katoka shule juzi ndio kamaliza form six anasubiri matokeo, kama mnavyojua maisha hayatabiriki, je, kozi gani iko marketable kwa sasa, jinsia yake ni male, ushauri wenu ni wa muhimu ili tufanye chaguzi sahihi

933812d6b44a0eae098fd427d082bb94.jpg
 
Ajifunze upishi atajiajiri aweze ku supply vyakula maofisini na vitafunwa majumbani, hata muda wa kukaa vijiweni kabisa.
 
Back
Top Bottom