Hivi ni nani huyo aliyepokea rushwa mbele ya camera na bado yupo huru?

Ngushi

JF-Expert Member
Jul 8, 2016
9,065
18,358
Jana rais amesema kuna mtu amepokea rushwa hadharani mbele ya camera kutoka kwa wamiliki wa migodi!
Ukiacha huyo ambaye ushahidi upo alisema wapo wengine walilipwa fedha ili wawatetee hao mwezi wa madini yetu
Swali je,
Ni nani huyo aliyepokea rushwa hadharani Na bado Jamaa hajashughulikiwa na takukuru anaishia kutajwa tu Na mheshimiwa rais!
A kunogesha mkutano?
Kama kweli yupo mheshimiwa raisi hebu mshughulikie iwe fundisho kwa wengine!
Ahsante
 
tutamjua tu, angekuwa majaliwa angemfyatua hapo hapo huyu mkuu wetu huwa anasita kwanza kusema baadae tunapofatilia ndio unakuta ni flani
 
Back
Top Bottom