Mugabe one
JF-Expert Member
- Nov 15, 2016
- 2,327
- 1,684
Bila kuingiza siasa za akina Tundu Lisu humu, napenda kuuliza ni kwanini wasafirisha mchanga wawe ni migodi ya Buzwagi na Bulyakulu tu? Kwanini mgodi wa Geita Gold Mine hawasafirishi mchanga? Mwenye uelewa mzuri atusmbie humu tujue maana tunaibiwa watanzania wote na siyo serikali tu.