nanga mstafu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2016
- 381
- 649
Wengi wanaweza wakafurahia hii hali ambayo hatukuwahi kuiona awamu zilizopita ya kuteua na kutengua viongozi kila Mara inaweza kuwa na hasara gani? Kwa mm naona ni vigumu wizara au idara hiyo kuendelea kwani inakua na mipango na mikakati mbalimbali inaanzishwa na kuachwa na kila anayeingia na kufukuzwa