Ndege mpya ya ATC

Ndege mpya ya ATC

yahoo

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
3,526
Reaction score
1,410
Nimeskia mwezi July inakuja ndege mpya nyingine...nauliza ,je ndege hiyo itakuwa na tofauti gani na zile mbili aina ya bombaider au itakuwa sawa na hizi, kwenye kufaham please
 
Another Bombadier Q400 Next Gen.....
 
Haya manunuzi ya bombardiers yakiundiwa tume yataitwa makaburi au mtoto aliyevuka umri
 
Nimeskia mwezi July inakuja ndege mpya nyingine...nauliza ,je ndege hiyo itakuwa na tofauti gani na zile mbili aina ya bombaider au itakuwa sawa na hizi, kwenye kufaham please
Ukimsema lazima ukosee....huwa hasemwi.
 
Back
Top Bottom