Wazazi wana expectations kubwa sana juu yako

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
8,117
8,335
Wanavyokuona hueleweki unawatia huzuni sana kama si hasira.
Wazazi wamekusomesha wakiwa na mategemeo ya kupata kitu toka kwako.. Sasa usije ukajifariji kwa zawadi za mikate na machungwa unayowapelekea nyumbani kipindi cha likizo.. Sijui ni nan alikuloga na kukuambia kwamba wazee wanahitaji hayo machungwa na mikate.
DO SOMETHING BIG FELA.. Adios amigo
 
Attachments

  • FB_IMG_1498307412703.jpg
    FB_IMG_1498307412703.jpg
    42.3 KB · Views: 32
Mkuu hebu fafanua hapo kwenye "DO SOMETHING BIG" kidogo. Mimi nikienda na mikate na machungwa natemewa mate ya baraka mpaka nalowa, hiyo sio something Big kwa wazazi wangu? Au mpaka niwajengee mansion na ka helicopter ka kutembelea?
 
Wanavyokuona hueleweki unawatia huzuni sana kama si hasira.
Wazazi wamekusomesha wakiwa na mategemeo ya kupata kitu toka kwako.. Sasa usije ukajifariji kwa zawadi za mikate na machungwa unayowapelekea nyumbani kipindi cha likizo.. Sijui ni nan alikuloga na kukuambia kwamba wazee wanahitaji hayo machungwa na mikate.
DO SOMETHING BIG FELA.. Adios amigo
Inategemea na familia unayotoka shekhe, kuna familia ukianza kujitegemea/kazi wanakufangashia brungutu la fedha na tegemeo lao ni kuona una-grow up economically wala hawana haja na pesa yako.

Lakini kwa upande mwingine ni kinyume chake.

Muda mwingine nakubaliana na quote ya bob marley:MY LIFE IS RICHNESS EVER OUT OF MY POSSESSION.
 
Hosea 4:6
"Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa.."

Mithali 13:22
"Mtu mwema huwaachia wana wa wanawe urithi;Na mali ya mkosaji huwa akiba kwa mwenye haki"

MAANA YAKE: " Baba yako anapaswa kuacha urithi wa kutosha hadi kwa watoto wako (Wajukuu zake). Kwa maneno mengine ni kwamba mzazi mwema anapaswa kuwa na Mali nyingi kuliko watoto wake. Anapaswa kufanya kutafuta pesa kwa ajili ya watoto na wajukuu zake. Kadhalika na wewe utafute nyingi kwa ajili ya wanao na wajukuu zako. Siyo kinyume chake. Sasa wewe unataka kutueleza nini hapa sijui ?!

Ibrahimu>Isaka>Yakobo.
IBRAHIMU akamwachia urithi ISAKA, ISAKA naye akamwachia YAKOBO.

Mithali 19:14
"Nyumba na mali ni urithi apatao mtu kwa babaye......"

SASA ANGALIA HAPA

Kama MTU mwema anapaswa kuacha urithi hadi kwa wajukuu, iweje Leo mzazi atake kitu kutoka kwa mtoto? Mzazi kumsomesha mtoto kwa mawazo kwamba anawekeza ni upuuzi. Ingawa hii haimpi mtoto Uhuru wa kutowahudumia wazazi wake.

Mzazi anayetarajia kitu kutoka kwa mtoto eti kwa sababu alimsomesha huyu SIYO MTU MWEMA. Siyo baba mwema wala siyo Mama mwema.

Pili, ikiwa nyumba na Mali ni urithi apatao mtu kutoka kwa baba yake, iweje Sasa kwamba yeye anayetoa vitu hivyo awe na matarajio kutoka kwa mwanae!!!

Si vibaya, tena ni aibu kwa mtoto ambaye Tayari ana uwezo kimaisha kutowasaidia wazazi wake. Lakini ni ni aibu zaidi kwa mzazi kuwasomesha watoto kwa matarajio ya kupata kitu.
 
Sipingani na wewe asilani mkuu, maneno matakatifu hayo ila,.....
Kumbuka hiyo ni njia ya maisha(YESU NI NJIA) inayoelekeza watu waishi vipi, na njia ya maisha unayofuata inaonyesha moja kwa moja wewe ni mwenyeji wa wapi( huo ni utamaduni wa mahali). Sasa inaonyesha wewe wenyeji wako uko mbinguni ndio maana unamtazamo huo, utajichosha bure wakija wa hapa duniani , wale wa dunia hii , maana mtabishani bure , wao nao wanautamaduni wao, njia yao ya maisha inasema vingine, utamaduni wao unakinzana na huo, nakushauri usipate shida kumlazimisha mtu wa misri aishi kama yupo Israel!
 
Wanavyokuona hueleweki unawatia huzuni sana kama si hasira.
Wazazi wamekusomesha wakiwa na mategemeo ya kupata kitu toka kwako.. Sasa usije ukajifariji kwa zawadi za mikate na machungwa unayowapelekea nyumbani kipindi cha likizo.. Sijui ni nan alikuloga na kukuambia kwamba wazee wanahitaji hayo machungwa na mikate.
DO SOMETHING BIG FELA.. Adios amigo
kwa hiyo wewe ni ng'ombe wazazi wako wanekutunza tangu mdogo lengo ukikua wakukamue maziwa na mwisho wakutafune nyama na ngozi yako wauze sio?
 
wazazi wanatakiwa wa struggle kufanya watoto wao wa-grow big mentally economically and physically na sio kuwatunza watoto ili baadae waje kuwakamua kama ng'ombe
 
Very nice mkuu ila wengi wetu sio kwamba hatueleweki,ila mambo magumu sana mkuu.
 
Hosea 4:6
"Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa.."

Mithali 13:22
"Mtu mwema huwaachia wana wa wanawe urithi;Na mali ya mkosaji huwa akiba kwa mwenye haki"

MAANA YAKE: " Baba yako anapaswa kuacha urithi wa kutosha hadi kwa watoto wako (Wajukuu zake). Kwa maneno mengine ni kwamba mzazi mwema anapaswa kuwa na Mali nyingi kuliko watoto wake. Anapaswa kufanya kutafuta pesa kwa ajili ya watoto na wajukuu zake. Kadhalika na wewe utafute nyingi kwa ajili ya wanao na wajukuu zako. Siyo kinyume chake. Sasa wewe unataka kutueleza nini hapa sijui ?!

Ibrahimu>Isaka>Yakobo.
IBRAHIMU akamwachia urithi ISAKA, ISAKA naye akamwachia YAKOBO.

Mithali 19:14
"Nyumba na mali ni urithi apatao mtu kwa babaye......"

SASA ANGALIA HAPA

Kama MTU mwema anapaswa kuacha urithi hadi kwa wajukuu, iweje Leo mzazi atake kitu kutoka kwa mtoto? Mzazi kumsomesha mtoto kwa mawazo kwamba anawekeza ni upuuzi. Ingawa hii haimpi mtoto Uhuru wa kutowahudumia wazazi wake.

Mzazi anayetarajia kitu kutoka kwa mtoto eti kwa sababu alimsomesha huyu SIYO MTU MWEMA. Siyo baba mwema wala siyo Mama mwema.

Pili, ikiwa nyumba na Mali ni urithi apatao mtu kutoka kwa baba yake, iweje Sasa kwamba yeye anayetoa vitu hivyo awe na matarajio kutoka kwa mwanae!!!

Si vibaya, tena ni aibu kwa mtoto ambaye Tayari ana uwezo kimaisha kutowasaidia wazazi wake. Lakini ni ni aibu zaidi kwa mzazi kuwasomesha watoto kwa matarajio ya kupata kitu.
Ni matumaini ya wazazi kukuona ukiweza kijimudu,ukiwasaidia watashukuru lakini si lengo lao, Kumbuka ukiwa hueleweki kama anavyo sema mleta mada hata hiyo mali uliyorithi itakushinda,hutaweza kuacha urithi kwa wanao.
Nadhani something big ni kujitambua,na huo ndio mwanzo wa mafanikio.
 
hakuna kubwa kwa wazaz kwa kujifarij kuwa utawalipa bali jitahid kufanya yote ya kuwaridhisha nq bila kuvuka mipaka ya allah
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom