BOT mulikeni hii taasisi iitwayo AMWA ni DECI mpya na inakua kwa kasi!

magode

JF-Expert Member
Oct 2, 2014
2,200
3,321
Wanabodi
Salaam;
Nimetembelewa zaidi ya mara 3 na watu wanaoshiriki huu upatu ktk taasisi hii iitwayo AMKA MWANAMKE(AMWA).
Benki kuu hebu fuatilieni hii taasisi ambayo imesajiliwa Brela.
Ukisikiliza maelezo yao,hakuna tofauti na DECI

Wanakuambia unaweka kiingilio elfu 15. Na elfu 15 unaweka bank kisha unapewa form uingize watu 27. Ukishaingiza hao watu unapata laki 4 na elfu 5. Hizo ni zako na unaruhusiwa kupanda tena kiasi kikubwa zaidi.

Kifupi ni upatu ambao unasambaa kwa kasi kubwa!

0d02848179d75f828c6a2e11121c23b5.jpg
 
Awamu hii imekuja na mambo mengi sana nadhani wanatekeleza kauli mbiu ya hapa kazi tu.
Hapa D9 club
AMWA etc
 
Wanawake hawaamkagi,,
Haibagui jinsia ingawa yenyewe kwenye usajili nadhani walidanganya huko brela ndo maana wakaiita AMKA MWANAMKE. Lkn wanakusanya pesa kwa kila mtu.
 
Waache waibiwe. Kwani nchi hii kuna mwenye akili! Mbona baniani Sethi kaiibia nchi huku tukimwona bonge la tajiri. Sasa ameanza kufilisika na hatupatii chama chetu michango ndiyo tunamkamata!
 
Back
Top Bottom