NAOMBA KUJUZWA KUHUSU HILI..!

NAOMBA KUJUZWA KUHUSU HILI..!

Mbwa dume

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
6,289
Reaction score
10,999
Heshima kwenu wadau,
eti naomba kuuliza hivi,
eti hapa Jf mtu akiwa wa kwanza kukoment kila uzi huwa baadae kuna posho au malipo flani analipwa na Jf..?
Naomba kujua ili kama ni fursa na mimi kuanzia sasa niache kazi yangu ya kuuza majeneza niwekeza Jf.
 
Endelea kuuza majeneza
 
Ipo acha tu kuuza majeneza mkuu vifo vitapungua
 
Back
Top Bottom