Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 280,551
- 729,447
Wandugu hebu tushirikishane jambo hili muhimu..
Kama ilivyo kwa tiba za hospitali na utaratibu wa matibabu ambapo mgonjwa anaweza kupona kupata nafuu ama kufa basi hata kwenye tiba za kishirikina mambo huwa hivyohivyo hakuna maajabu ya ziada kule kuwa kila mja atasaidika.. Kwahiyo ni vema kulitambua hilo
LAKINI Zingatia kwa makini hili :siku hizi wapigaji ni wengi na baadhi wanabahatisha hivyo unapoamua kwenda upande huu nenda kwa tahadhari kubwa... Huku ukiwaogopa Kama ukoma wale wanaohitaji malipo mbele ama 'pesa ya kazi'