ugali dagaa
JF-Expert Member
- Oct 18, 2013
- 1,286
- 1,131
Kwa wakazi wa Dar naamin wanajua kuwa pale kariakoo mnadani ni pango la wanyang'anyi vifaa vyoye vya wizi wa magari vikiibiwa utavikuta pale wanakuuzia bila wasiwasi wowote kisha wanakwambia ukienda polisi wanavunja au kuharibu kifaa chako sio suala la siri kila mwana Daresalama hususani mwenye kumiliki gari anapajua malalamiko ya kila aina yameshatolewa nakumbuka tu mkuu mmoja wa polisi aliahidi kulishughulikia, sijui akakutana na kizingiti gani kama tumepigana vita vya madawa ya kulevya kisha tukapigana na mafisadi wakubwa tunashindwa nini kuliteketeza hili soko pango la wezi ambapo pia linachafua mji kwani halijakaa official kama soko bali kama illegal structure katikati ya mji, kama serikali imeshindwa wananchi tunaweza kufanya wenyewe dawa ni kwenda kuliteketeza kwa moto...