FrankMongiRobert
Member
- Dec 14, 2016
- 19
- 43
Je, Kuna uwezekano wa kubadili username ya jf?
Asante kwa jibu.NI mojawapo ya vitu ambavyo haviwezekan chini ya JUA MKUU
Sawa mkuuNami unijuze
Ina makosaYa sasa ina tatizo gani?
Achana nayo tuu mkuuIna makosa
Kubadilika haiwezekani ee?Achana nayo tuu mkuu
Nadhani haiwezekani....... Ila jaribu kuwasiliana na mods kwan ilo jina linashida ganiKubadilika haiwezekani ee?