MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,700
- 71,125
Usimcheke mwenzio akipatwa na matatizo
Manji alipopata matatizo ya kuwekwa ndani kwa shutuma za madawa ya kulevya wapenzi wa Simba walishangilia sana kiasi cha kufikia kuwaita yanga mateja,
Sasa viongozi wa Simba wametiwa ndani kwa makosa ya ufisadi je na yanga washangilie ili kulipa kisasi, mimi nigekuwa yanga nisingelipiza kisasi. Hili ni funzo kwa washabiki wa simba