Ushauri nipo njia panda ndugu zangu

Ushauri nipo njia panda ndugu zangu

james bendui

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2015
Posts
717
Reaction score
745
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 nina kazi nzuri kwa mwezi sikosi kama laki tano na kidogo na nina mwaka tu kazin na nimepata pesa kama milion 28 hivi na sina dira nzuri ya mafanikio endelevu na nina uwez wa kukop pesa bank sio chini ya milion 15 na bado sijajenga nyumba au kuwa na kitu cha samani zaidi ya hivyo.<br /><br />Naomba ushauri wenu ndugu kaka na dada zangu na wote JF najua wapo watu makini na wenye uwelewa mzuri wa kimaisha zaid yangu kweli nipo njia panda sijui nifanye nini na ni mara ya kwanza kushika pesa ndefu kama hiyo naomba msinizarau na kunichukilia tofauti kwa kuniambia maneno ya kunivunjaa moyo kama wazalendo na wakubwa zangu naheshimu mawazo yn na ht walio chini yangu naomba ushauri wenu wa hali na malii naogopa kuja kujituia kwa fursa hii niseme niliyobahatika kwa sasa asanteni wote.
 
Cha kufanya iweke tu na ukusanye nyingine zifike 56 baada ya miaka miwili..(jokes)

Nenda china chukua mzigo kias,au dubai chukua phone accesories njoo tuumize huku,na hyo kaz nadhan utaacha kabsa
 
Hii mada siiamini kabisa, yaan mwaka 1 una 28 mil, tena mbali na mkopo.

Unasaka mchuchu kwa staili hii, [emoji16] [emoji16]
Mshahara laki tano na usheee,ila kapata nadhan sehem nyingine 28 ml halaf anaweza kuchukua 15m mkopo,nikimpigia hesab kama mkopo kwa salary slip sidhan kama inafika kuweza kupewa 15ml,,kuna kajiukakas japo kupata hela haiangalii umri
 
Wakati bado ukiwa unatafakali ufanye nini,nunua Government bond au Hisa kama za Voda,Tbl etc huku ukizichungulia ikitokea zimepanda hata kwa miambili unauza utapata pesa zaidi
 
Back
Top Bottom