Nimekutana na hizi sarafu sehem. Je, zina value?

Zero Hours

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
12,948
18,648
b7c64cb87a54f3c3201eceb12cbf2a4d.jpg
f61be8d684568643f9f1d2e41d07e09e.jpg
 
Hizo ni sarafu za enzi ya Wajerumani (HELA).

Kama unazo nyingi tafuta coin-dealers na zina thamani sana.

Uwe muangalifu wanaweza kukudhulumu au hata kukuua.
Hahaa,mkuu ,usiku huu unaleta chai kavu,,em acha kudanganyika,vitu kama hivyo havipatikani kirahisi km unavyofikiria
 
Duh! Ngoja niwe makini.
Soko lake liko wapi?
Mbona kama ninazo kibao tu. Niliachiwa na babu.
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom