Kumekucha...Mganga aliyewapa ' Ndumba ' Mitume na Manabii 1,700 wanaotudanganya Waumini atoa onyo

Prognosticator

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
40,125
2,000
Inasemekana kwamba huyu ndiyo ' Mganga ' mkubwa na mwenye ' Ndumba / Uchawi ' mkubwa sana ambaye ndiyo amewapa nguvu hizi za ' Miujiza ' ambazo hawa Watu wanaojiita ' Mitume ' na ' Manabii ' ambao ni ' maarufu ' sana hapa nchini Tanzania hasa hapa katika Jiji letu hili la Dar es Salaam.

Na moja ya ONYO KALI ambalo amewapa ni kuwataka hawa ' Watu ' waache kutuhubiria, kuturoga na kutudanganya vinginevyo asipoona wamebadilika basi muda wowote kuanzia sasa atawataja ' mubashara ' ili waumbuke.

Msiseme kuwa GENTAMYCINE nina yangu ila nakuomba tu ukitaka upate kila kitu tafuta ' Kopi ' yako ya Gazeti la NYAKATI la leo kisha fungua ukurasa wa tano ( 5 ) upate kila kitu. Tukisema kuwa hawa Watu ni ' Wachawi ' na ' Waongo ' tu huwa hamtuamini.

Nawasilisha.
 
Prognosticator

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
40,125
2,000
Duuh, ngoja nitafute galazeti hilo. Hapo sio bule.

Nasikia kwa mujibu wake Yeye miongoni mwa Wateja wake wakubwa wapo......
 1. Jirani na mataa ya Mwenge
 2. Anayekuja kasi kwa sasa pale Tegeta
 3. Mahelikopta Ubungo
 4. Chapombe Original Ubungo Kibangu
 5. Jirani na round about ya kuelekea kwa Wasomi UDSM
 6. Mrembo aliyepo Kituo cha Basi maarufu ya Mbuyuni mkabala na njia panda kama unaenda Kunduchi
 7. Brotherman mmoja hivi ambaye ili ufike Kwake lazima ushukie pale Skansa kisha uelekee ilipo mitambo ya IPTL
Kazi ipo hakyanani.
 
Mr Q

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
10,232
2,000
aje na ushahidi

kwa mfano nikisema nilikupa pesa na hakuna ushahidi wowote na wewe ukakataa itakuwaje?
 
nessonlegend

JF-Expert Member
Mar 1, 2013
1,658
2,000
Nasikia kwa mujibu wake Yeye miongoni mwa Wateja wake wakubwa wapo......
 1. Jirani na mataa ya Mwenge
 2. Anayekuja kasi kwa sasa pale Tegeta
 3. Mahelikopta Ubungo
 4. Chapombe Original Ubungo Kibangu
 5. Jirani na round about ya kuelekea kwa Wasomi UDSM
 6. Mrembo aliyepo Kituo cha Basi maarufu ya Mbuyuni kama unaenda Kunduchi
 7. Brotherman mmoja hivi ambaye ili ufike Kwake lazima ushukie pale Skansa kisha uelekee ilipo mitambo ya IPTL
Kazi ipo hakyanani.
Uwiiii etata tufwile , yani haponi mtu hapo. Lkn kutakuwa na walakini katika habari hii, hasa kwa nn mganga huyo awataje wakati ndio wateja wake. Kiufupi atakuwa amepoteza professional ethical au hawampelekei sadaka wanazokusanya kwenye majumba yao.
 
wiseboy.

JF-Expert Member
Aug 11, 2014
3,784
2,000
Nasikia kwa mujibu wake Yeye miongoni mwa Wateja wake wakubwa wapo......
 1. Jirani na mataa ya Mwenge
 2. Anayekuja kasi kwa sasa pale Tegeta
 3. Mahelikopta Ubungo
 4. Chapombe Original Ubungo Kibangu
 5. Jirani na round about ya kuelekea kwa Wasomi UDSM
 6. Mrembo aliyepo Kituo cha Basi maarufu ya Mbuyuni mkabala na njia panda kama unaenda Kunduchi
 7. Brotherman mmoja hivi ambaye ili ufike Kwake lazima ushukie pale Skansa kisha uelekee ilipo mitambo ya IPTL
Kazi ipo hakyanani.
Ni uongo mtupu, huwezi kuchanganya uchawi na Jina la Yesu, huyo mganga atakuwa katumwa na Makonda ili kumchafua Gwajima ila ataumbuka tu.
 
BRO SANTANA

JF-Expert Member
Jun 15, 2015
1,850
2,000
Dini ya haki na kweli itabaki kuwa ni uislamu tu na huo ndio ukweli mchungu.
Wengine wote ni matapeli na ni uongo mkubwa.
Kwa kutambua uislamu uislamu ni dini ya haki basi watu wa maghribi wamepandikiza chuki ya ugaidi ili dini hii tukufu ichukiwe na ipigwe vita kote duniani ili wafuasi wao wasiijue na kuitambua dini ya haki.
Uislamu hauna ugaidi na dini hii inapiga vita ugaidi na dini hii haikubali mauaji ya aina yoyote.
Endeleeni kupotoshwa na mbaki kutojielewa kwa ubishi msiokuwa na ujuzi nao.
ALLAH AKBAR
 
kaburungu

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
2,459

Mmhhhh!!
 
Mkwere Sumbawanga

JF-Expert Member
Sep 28, 2015
683
1,000

Hivi na ww ulifunga?
 
tryphone005

JF-Expert Member
Jan 30, 2017
457
500

Dhahabu na mawe mengine ya madini yanauzwa pesa nyingi sana na wanaoyapata hutajirika, sivyo?
Basi matapeli hutafuta yaliyo ya bandia ya kufanana, yaani madini feki na huwauzia wasiojua na kuwatapeli pesa nyingi sana sivyo?
Je, watu watupe dhahabu na madini yao ya kweli kwa kuwa kuna yaliyo feki?
Je, ni kosa la madini ama ni kosa lako wewe usiyeyaelewa vizuri mpaka ukauziwa kanyaboya?
Jifunze kuyatofautisha ili usiibiwe lakini kamwe matapeli wa madini hawayafanya yaliyo ya kweli yaache kutafutwa au kuuzwa pesa nyingi!
Na watu hawatasema kwa kuwa almasi feki zimekuwa nyingi basi TUVAE VIDANI VILIVYOTENGENEZWA KWA VIJIWE VIJIWE TU VISIVYO NA THAMANI!
ni tafakuri ndogo tu mkuu,Kile kinachoigwa sana ndio kina thamani ujue, vijiwe utamuibia nani mamilioni!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom