Ushirombo
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 3,558
- 2,714
Habari wakuu,
Nimepoteza bro na rafiki yangu wa karibu sana, usiku wa kuamkia trh 29.06.2017.Na leo ndio mazishi yake.Inauma sana mtu kuondoka ghafla bila kuugua au ajali.
Lakini yote ni mipango ya Mungu.Asanteni kwa wote ambao tupo pamoja kumsindikiza na kumuhifadhi kwenye nyumba yake ya milele