Kwanini kampuni ya Tigo haijatoa tangazo lao la 'Jaza Ujazwe'?

qaxemvule

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
230
117
Kwani kati ya serekali na kampuni ya tigo nani zaidi.Kwa sababu toka walipoambiwa kuliondoa Mara mmoja tangazo la JAZWA UJAZWE kwenye vyombo vyote vya habari mabangona n.k. Lakini mpaka leo bado unataka kuniambia serekali imepiga magoti kuenye kampuni ya tigo kwamaana imechemka au kampuni ya tigo ina kiburi?
 

Attachments

  • IMG_20170704_083418_082.jpg
    IMG_20170704_083418_082.jpg
    13.8 KB · Views: 30
  • IMG_20170704_083438_684.jpg
    IMG_20170704_083438_684.jpg
    17.4 KB · Views: 35
  • IMG_20170704_083514_284.jpg
    IMG_20170704_083514_284.jpg
    17.4 KB · Views: 33
Back
Top Bottom