Wahenga ni watu wote wenye hekima na busara na siyo lazima awe amekufa hata ukiwa hai na ukawa na hekima na busara za kuwafundisha watu mambo yenye matokeo chanya basi wewe ni mhenga..hivyo hata wewe unaweza kuwa mhenga.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.