Mataa mapya Tegeta_Mwenge yamekuwa kero

Mataa mapya Tegeta_Mwenge yamekuwa kero

Voltaire

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2013
Posts
1,964
Reaction score
2,188
Haya mataa mapya hapa njia panda ya Goba, Africana na Mbuyuni naona kama yameongeza unnecessary jam kwa namna niijuavyo njia hii na hali ya jam ilivyo baada ya haya mataa mapya kuwekwa.

Naona kama tatizo limekuwa kubwa kuliko mwanzo, nashauri traffic waongoze magari kwenye hizo junctions coz watu walio kwenye highway (double road) kwenye magari mengi zaidi wanakaa zaidi kwenye jam, setting ya interval haikuzingatia hilo.

Naamini pia kuna wengi humu wanaopitia kero hii humu ndani.
 
Yameongeza kero ya foleni lakini yamepunguza ajali kwa asilimia kubwa sana hapo.......wanaotumia njia hiyo kwa kuvuka toka upande mmoja kwenda mwingine watakua mashahidi.
 
Waache taa zifanye kazi. Mtazoea tuu, hata ulaya walianza hivyo.
 
Yameongeza kero ya foleni lakini yamepunguza ajali kwa asilimia kubwa sana hapo.......wanaotumia njia hiyo kwa kuvuka toka upande mmoja kwenda mwingine watakua mashahidi.
Pia asikali wa bunduki wawe wanakaa kwenye mataa! Last jumamosi kuna jamaa alipigwa shaba huku naona kwa macho yangu na watu wa bodaboda! Kisa walikua wanataka pesa
 
Ni kweli kabisa, yaani ni kero tupu. Walioprogram hayo mataa wanatakiwa wazingatioe wingi wa magari katika kila barabara sio kuyapachika tu kutumia setting iliyotoka nayo kiwandani
 
Bondeni njia panda y kwenda kawe ndo kero haswaa maana n mlima ule kw magar makubwa n haya y kwe2 vmeo tunashindwa kupanda baada y kusimama.
 
Back
Top Bottom