Mheshimiwa waziri, pole kwa majukumu.
Kumekuwa na migogoro mingi ya ardhi katika nchi yetu, mara kuuziwa ardhi mara mbili mbili, mara mipaka etc.
Vile vile kumekuwa na ujenzi holela hata sehemu...
Wandugu naomba kujua vigezo vinavyotumika kabla ya kuweka taa za barabarani.
Nimeshuhudia sehemu zenye makutano ya barabara tatu au zaidi lakini lakini hakuna taa za barabarani huku askari...
Uzalendo ni pamoja na kutumia, kukilinda na kukiendeleza kilicho chetu.
Kutokana na ukuaji wa kasi wa maendeleo ya teknolojia ya habari, kwa lengo la kuwafikishia wananchi taarifa kwa uharaka na...
Nafikiria Mungu akiumba nchi mpya kwa sasa tulivyo hapa, wangapi wataamua kuihama Tanzania na kuanza makazi mapya. Toa sababu kwa nini uhamie nchi mpya
Tuna degree tatu na ya nne soon mwezi huu zote hazina ajira zipo nyumbani tu, hapa namaanisha tupo vijana wanne wenye degree za hivi karibuni home bila ajira.
Nimeamua kujiajiri baada ya...
Natumaini mko salama mkizidi kulisongesha japo duh usawa mbovu huu, hatukawii kutumbuana ili tuonekane na sisi tupo tupo.
Napenda kuwapa hizi tips chache za kuweza kuishi kwa amani na hawa mabosi...
Kahama. Waliokuwa walinzi 28 wa mgodi wa dhahabu wa Buzwagi unaomilikiwa na Kampuni ya Acacia, wameshindwa kutoka ndani ya eneo la mgodi huo kwa siku nne mfululizo kuanzia Julai mosi, baada ya...
Kwanini polisi wanalinda mabanki ya binafsi wakati ofisi kubwa za serikali kama TRA, halmashauri, mahakama, ofisi za wizara nk, wanalinda mgambo wa kawaida wasiokuwa na afya nzuri pengine?
Jamani naombeni kufahamu kwa ninyi mnaokwenda huko ama wenye kujua.
Hivi ni kwanini kila kinapofika kipindi cha kwenda kuhiji kwenye miji mitakatifu ya Mecca na Madina, hutokea vifo vya mamia ya...
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema!
Je ni jinsi gani kijana aliyemaliza chuo anaweza toka bila kutegemea ajira?? maana kila sehemu mambo yanabana (ila sio kisingizio)!!
Na kiuhalisia siwezi...
Muda huu nikiwa manyoni,nikaona nicheki distance kutoka Manyoni mpaka Kaliua ili nijue tutafika muda gani!
Nikaingia google map,nikaingiza destination maana yenyewe automatically inasense your...
Wakili Jerome Msemwa leo ametangaza kujitoa katika kesi inayowakabili Rais wa Shirikisho la Mpira nchini(TFF), Jamal Malinzi na Wenzie wawili(Celestine Mwesigwa na Nsia.
Msemwa ambaye alikuwa...
Kampuni maarufu ya kutengeneza magari ya nchini Sweden inayojulikana kama #Volvo imetangaza kuwa kuanzia sasa magari mapya watakayotengeneza hayatatumia mafuta ya petroli au dizeli bali umeme...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza, linamshikilia Edna Deus (21) mkazi wa Kisiwa cha Bulubi wilayani Ukerewe kwa tuhuma za kumng'ata shangazi yake Rose Marwa (31), hadi kipande cha ulimi kukatika na...
Mara nyingi ninapoingia kwenye website mbalimbali za ajira, najiuliza hawa wanaobandika matangazo haya kwenye website zao, je wao wanayatoa wapi hayo matangazo?