Wild fauna
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 461
- 189
Salaam
Wadau mie nina kakiwanja kangu hapa mjini Moshi. Nimeenda ofisi za ardhi ili kuweza kuanza mchakato wa kukipima. Maelezo na gharama nilizoambiwa zimeniacha hoi na imebidi niondoke kimya kimya,
Nimeambiwa mtaalamu kwenda site kukiona kiwanja na kuchukua coordinate then kuziweka kwenye town plan kuangalia kama kiwanja kipo eneo linalofaa kwa makazi gharama yake ni Laki moja (100,000)
Pili Kama kitakuwa sehemu sawia bas maandalizi ya ramani mpaka hati gharama yake itakuwa laki saba (700,000)
Kwa maana hiyo mpaka kufanikisha hili zoez itanigharimu laki nane
800,000/=
Imenibidi nitoke mbio kwenda kutafakar na kujipanga upya.
Je ni gharama sahihi kwa zoezi hili wadau?
Sent from my LG-H340n using JamiiForums mobile app