Swali: Kwanini Tunda Apple linauzwa ghali?

Swali: Kwanini Tunda Apple linauzwa ghali?

ubarinolutu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
2,850
Reaction score
6,031
Leo nalikuwa nazunguka zunguka, nikapita sehemu wanauza matunda nikanunua apple 1 kwa sh 1000, ambalo lina size sawa na chungwa la 200, peas la 200, piches ya 100, embe la 300.

Sasa nikatafakari sana na kujiuliza kwanini tunda hili linauzwa bei ghalu ila sikuweza pata majibu. Ma apple yanaota katika mti na huwa ni mengi tu kama maembe katika mti wake , labda ingekuwa mti mmoja unatoa maepo 10 tu ningesema sawa bei iwe juu.

Sasa naombeni majibu hasa kwa wakulima wa matunda . Ni kwanini eppo ni gjali sana
 
"....Sasa naombeni majibu hasa kwa wakulima wa matunda"

Kwa kuwa umesema wakulima, ngoja tuwasubiri waje watoe majibu
 
Nakujibu kidogo tu
Machungwa na maembe sijui mapeas hayo yanapatikana kwa wingi na yanalimwa karibu kila mkoa....hayo maepo yako hayo(apple) upatikanaji wake ni mgumu tena yanazalishwa mikoa michache kwel hapa kwetu mengi yanatoka nje ya nchi
Kwahyo bei lazima iwe juu tofauti na hayo matunda mengine.


Sent from my H8501 using JamiiForums mobile app
 
Kwa sababu ni [emoji519] apple

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Nakujibu kidogo tu
Machungwa na maembe sijui mapeas hayo yanapatikana kwa wingi na yanalimwa karibu kila mkoa....hayo maepo yako hayo(apple) upatikanaji wake ni mgumu tena yanazalishwa mikoa michache kwel hapa kwetu mengi yanatoka nje ya nchi
Kwahyo bei lazima iwe juu tofauti na hayo matunda mengine.


Sent from my H8501 using JamiiForums mobile app
Tuna mkoa unazalisha apple kweli ?
 
Sisi wenyewe ndio sababu ya kulipa hadhi hilo tunda kwa kulihusisha kama alama ya upendo.
 
Mbeya

Sent from my H8501 using JamiiForums mobile app
 
Yapo yale ya njiani...wanauzaga stand..nasikia wanayadunga sindano...nilikula kipindi fulani morogoro yalichonifanya tumbo langu siji kusahau
 
Hivi ktk bustani ya Eden nyoka alimdanganya Hawa akala tunda,lile si lilikua Apple?

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
"Ehh"

Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom