Kwenye luninga, picha, mitandaoni na sehemu kadhaa tuwaonapo viongozi wetu TZ na Afrika lazima wale walinzi wawe nyuma ya viongozi wetu kama sio pembeni! Je ni sababu viongozi wetu hawajiamini na...
Wafuatao ni baadhi ya watumishi wanaolipwa mishahara na serikali.
1. Rais
2. Makamu wa Rais
3. Waziri mkuu
4. Mawaziri wote na manaibu wao
5. Makatibu wakuu manaibu wao
6. Wakuu wa Mikoa na Wilaya...
Dar es Salaam. Dhana potofu kuwa unywaji kahawa unaleta shinikizo la damu umesababisha kinywaji hicho kutumika kwa asilimia 10 tu nchini.
Akizungumza leo Jumapili, Julai 9 katika Banda la Bodi ya...
Tangia mwaka 2000 bukoba ilijipangia mikakati ya ujenzi Wa soko kuu,soko la kashai,na stendi ya kyakairabwa ilikuwa upinzani chini ya rwakatale nothing kilitendeka,mwaka 2012 miradi ilifufuliwa...
Benki ya Ecobank imesaini makubaliano na Kampuni ya Kimataifa ya Kuhudumia Shehena za Kontena Bandarini (Ticts) ili kurahisisha ulipiaji wa mizigo kwa watumiaji wa Bandari ya Dar es Salaam...
WanaJF
Kati ya ndoto zangu kubwa katika maisha ni kuanzisha NGO yenye kujihusisha na mambo ya elimu.
Ukiachana na taratibu za kisheria za usajili{ambazo nimeshazisoma} je ni mambo gani mengine...
Baada ya kumaliza Makete katika shughuli za kikazi leo nipo bumbuli kwa mbunge January makamba. Bumbuli ni kuzuri sana hali ya hewa ipo safi kabisa hakuna jua kabisa green city, wakazi wa Bumbuli...
Dar es Salaam. Baraza la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), limeagizwa kuvipitia upya vibali vya kazi vya kiwanda cha kutengeneza mifuko ya viroba cha Anbangs ili kujiridhisha kama ni...
Habari wanabodi.
Very soon nitakuwa na safari nikifuatana na vijana wangu kuelekea katikati ya nchi Dodoma.
Tutataka kupumzika karibu na maeneo ya stendi ya mabasi kama siyo basi isiwe mbali...
Nimesikia tetesi KWESE TV ndo wamenunua TV1 na wanakuja na vingamuzi vyao
kuna anaejua zaidi?
lini labda?
bei zao?
zaidi ya NBA wana nini zaidi? EPL?
UEFA?
Pesa zilizotolewa kama Sadaka kwa waheshimiwa na Brother Ruge naamini kuna sehemu zilisaidia. Pesa hizo japo Leo mamlaka inadai zile ni pesa za haramu lakini mamlaka haisemi uharamu wa mshiko huo...
Seneti ya UDSM ilifuta ghafla uanafunzi wangu kwa sababu zilizosababishwa na uzembe wao. Nimefuatilia haki yangu hiyo tangu miaka ya 2008. Mara zote wananipa majibu yanayokinzana.
Natafuta...
Tanzania yatajwa kuwa ni moja nchi zenye uchafuzi kidogo wa anga na mazingira. Mataifa yaliyotajwa katika taarifa hiyo ni pamoja na Kenya, Msumbiji, Ethiopia na Cameroon.
Utafiti uliofanywa na...
Wanasayansi nchini New Zealand wameonyesha kwa mara ya kwanza kwamba chanjo inaweza kutoa kinga dhidi ya ugonjwa wa kisonono.
Watafiti kutoka chuo kikuu cha Auckland wamegundua kuwa maambukizi ya...
Kwa mujibu Wa misahafu mitakatifu
Binadamu tumetokana uumbaji Wa mwenyezi Mungu
Kwamba sisi sote tumetokana Na Adam Na Hawa kuanzia wazungu waafrika waarabu Na Asians wore
Ila Sayansi Na history...
Ujenzi wa stendi ya mabasi yaendayo mikoani ktk eneo la Mbezi mwisho jijini dsm ulitakiwa kuanza mwezi huu wa Julai kwa mujibu wa kauli ya uongozi wa jiji iliyotolewa mwaka jana, je ujenzi huo...
Rai hiyo ilitolewa mwishoni mwa wiki na wajasiriamali kwenye tamasha la mwanamke wa Kiafrika lililofanyika viwanja vya Makumbusho ya Taifa, Via Via, jijini hapa.
Mmoja kati ya wajasiriamali...
Wakizungunza na Nipashe jana, Erick Mwenda na Gertuda Masawe, walidai watu hao ni hatari kwa watalii kutokana na kuwasumbua na wakati mwengine kutapeli mizigo yao.
Masawe alishauri wizara kwa...
Ukistaajabu ya Firauni ona ya Musa sasa watu wa TRA wakiwa na trafiki wanakupiga mkono ukisimama cha kwanza wanaangalia gej ya mafuta kifuatacho unaombwa risiti ulipowekea hayo mafuta.
Kama...
WanaJF.
Kila binadamu ameletwa duniani for a good purpose,na hata tu viumbe walioko duniani wote wameumbwa na MUNGU kwa makusudi maalum,siyo accidentally tu.
Kuna kipindi mtu anaweza kufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.