Hoteli nzuri Morogoro isiyozidi laki moja

dagaa

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
290
379
Habari...

Niende moja kwa moja kwenye hoja husika..

Naomba kufamishwa hotel nzuri Morogoro, ni mara yangu ya pili, mara ya kwanza nililala Flomi hotel na nilipapenda sema mi napenda swimming na utulivu fulani, ila kwa pale flomi room nzuri sema hakuna ivyo vigezo vyangu, ila kila kitu kilikua poa sana kuanzia rooms na mazingira ya ndani kwa ujumla.

Naomba kujuzwa hotel zenye vigezo ivyo ninavyoitaji na bei isizidi laki 1 kwa siku.

Kama huna ushauri, bora upite kimya kimya kuliko kuweka utani au matusi.

Naomba kuwasilisha
 
Kama maisha magumu ni kwako na familia yako.... Hapo moro pako vizuri hata hali ya hewa ni nzuri

Nenda Kibo Peak Palace Hotel ($ 13)

Wapigie simu sasa kazi kwako..
+255 754899034
 
Sijawahi kulala ila last time nilipita jamaa yangu akanipeleka kupata moja baridi Nashera. The place looks good. Lakini sijui huduma za Malazi. But I did enjoy my Heineken and steak!
 
Kwa hiyo laki/day,yafaa uende oasis hotel.nasheera iko bomba,lakini bei juu!
 
Back
Top Bottom