Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Eehe bhana eeh, kabla weekend haijaisha na kuingia kwenye hekaheka za wiki nyingine kusaka ugali, acha niwaachie kisa hiki. Majuzi nilipata mchongo mkoa A. Ni mkoa ambao nilikuwa sijawahi kuishi...
0 Reactions
4 Replies
104 Views
Mkuu wa mkoa mpya wa Mwanza CP Salum Hamuduni, mbona unawafanyia hivi Watanganyika, wasukuma wa Mwanza? Umefungia minada yote kuanzia Nyakato, Saba Saba, Mkolani, Mkuyuni n. K Hivi unadhani...
3 Reactions
27 Replies
280 Views
Kwanza, napenda kuwapongeza Tanzania Health Summit kwa kuanzisha na kuendesha tuzo zinazowatambua na kuwapa motisha wafanyakazi wa afya nchini Tanzania. Hili ni jambo zuri na muhimu, hasa katika...
0 Reactions
8 Replies
64 Views
Mwanaume unashindana na wananawake kutamka neno, SHUSHAAA! Kwenye daladala? Si useme tu, mimi nashuka hapo mbele. Wanaume kama Jamila bhana!
7 Reactions
68 Replies
662 Views
Hili genge a wahuni bwana
2 Reactions
4 Replies
86 Views
Kila kona ya hiki kitabu ukikisoma vizuri utagundua kuna matatizo mengi mno ya kimantiki sasa sijui inatokea vipi mtu mdadisi, mwenye kufikiria kwa kina anakaa na kukubali tu kila neno lilipo...
6 Reactions
92 Replies
512 Views
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. William Anangisye anasikitika kutangaza kifo cha PROF. MATTHEW LUHANGA, aliyekuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kuanzia 1991 hadi...
15 Reactions
226 Replies
32K Views
Ngamia hachinjwi hovyo hovyo kama wanavyochinjwa wanyama au ndege wengine. Ngamia ili achinjwe lazima asomewe dua na aridhie kuchinjwa na anaye msomea dua asiwe mtu wa makando kando mengi kinyume...
15 Reactions
128 Replies
1K Views
Nina Licence A B D na E zaidi ya miaka 10 je nikitaka Daraja C nitapata ila Licence yangu ina isha muda wake 2029 Natanguliza Shukran
2 Reactions
6 Replies
39 Views
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) imefanya operesheni katika Mtaa wa Majizzo katika Kata ya Kunduchi Wilaya ya Kinondoni na kubaini matumizi yasiyo halali ya maji...
1 Reactions
2 Replies
74 Views
10: Kagera 9: Geita 8: Mara 7: Mwanza 6: Katavi 5: Tqbora 4: Simiyu 3: Shinyanga 2: Kigoma 1: Rukwa Maoni yangu 1: Kanda ya ziwa yote ni masikini kuliko hatwas wawili. Kusin kwa waswahili. 2...
11 Reactions
73 Replies
1K Views
Usimlazimishe mtu akuelewe. Watu sahihi wataona nia yako bila kulazimika kujieleza mara elfu. Sio kila mtu atatafsiri moyo wako kwa usahihi, na si kila mtu anahitaji kupata maelezo ya kila...
7 Reactions
10 Replies
124 Views
Assalaam alaykum warahmatullah wabarakatuh ALHAMDULILLAH A'LAA KUL-HALI Siku ya tarehe 20 Septemba, mwaka 2024, ilibadilika kuwa moja ya siku zenye changamoto kubwa sana katika maisha yangu...
0 Reactions
13 Replies
125 Views
1: Pacome Mademu wanao nyoa na kupaka bleach za rangi kwenye nywele Mfano: "huyo pacome wako mtaachana tu" 2: Makebe Demu alie na makebo makubwa (makalio makubwa) Mfano: "makebe mmoja kapita...
2 Reactions
4 Replies
105 Views
guest-1790964445
Hivi ni nini hasa kilipelekea ww kujiunga na jukwaa hili la JF au wengi huwa wanafuta mkumbo tu baada ya kuona kwa watu ?
2 Reactions
10 Replies
46 Views
Members. KILA MTU ana maisha Fulani ivi ameyaishi. Katika ukuaji wake. Tukiwa bado wadogo tuna jishepu kutokana na maisha HALISI ya kwenu na wazazi wetu. Mimi binafsi nimeisha maisha ambayo ata...
5 Reactions
36 Replies
365 Views
Habari za muda huu wakuu. Nilikua najiuliza, Je,kuna ulazima gani wa Traffic kusimamisha magari kwenye foleni ili kupisha misafara ya viongozi kwa muda mrefu? Yani unakuta gari zinasimamishwa kwa...
2 Reactions
11 Replies
73 Views
Wale watu wa Magharibi hawajui maana ya haya maneno ya Mashariki. Deva ni mungu mwanaume na devi ni mungu mwanamke. Lakini watu wa Magharibi utawasikia wanasema deva Rihanna au deva Beyonce...
3 Reactions
1 Replies
44 Views
Wakuu habari ya kazi viongozi Nina hamu ya kufanya biashara ya samaki katika mkoa wa tabora japo siyo hapo mjini "ni senta iliyo pembeni na Mji wa Tabora" Sasa kwa hapa tabora sijui nianzie...
4 Reactions
5 Replies
76 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…